Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
  • Redirect
Habari wana JF, Kuna kitu najiuliza mbona wamama wa zamani hawakua na michirizi kama ambavyo wa siku hizi wanayo? Nimekaa nimetafakari karibia wanawake wote watu wazima ninaowafahamu hawana hii...
4 Reactions
Replies
Views
Tanzania kuna wanawake warembo I see asikuambie mtu. Naamini ina warembo kuzidi nchi yoyote East Africa. Mtu atakuja,oooh...! Rwanda. Hao wanaokuwa kama warwanda wamo humu Tz yaani mpaka unaweza...
8 Reactions
29 Replies
5K Views
Naomba wadada mje hapa; iteni wenzenu tuongelee suala la "vigodoro" Kwanini tunanyanyapaana kuhusu shapewear jamani? Eti mtu anasema "ridhika na Mungu alichokupa". Kweli? Nywele za bandia weka...
5 Reactions
40 Replies
12K Views
Kuna kitu cha kipekee sana juu ya wanawake ambao wako hivi, Sijui ni mimi tu na macho yangu, lakini mwanamke wa hivi naweza honga hata nyumba. Huwa najikuta nawapenda bure tu...Rangi ya ngozi na...
17 Reactions
178 Replies
23K Views
Jamani nyie wanawake wa kidigitali mnatuharibia kizazi chetu cha baadaye. Huu uvaaji wenu mnawafundisha nini watoto wenu. Si bora mkae uchi sasa kieleweke. Miaka mingi mlikuwa mkisingizia ni...
1 Reactions
38 Replies
18K Views
Apo chacha! Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi wanazotumiwa kutumia kope hizo kuripotiwa kuripotiwa kuwa na athari kwenye...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Mambozi dears, for the first time nataka nijaribu lace wig lakini naona mostly zimesukwa mbili kichwa au kubana kidoti, ina maana ukiliachia tu bila kubana au kusuka halipendezi? Mwenye picha ya...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu . Wanaume tukae pembeni...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wakuu hamjambo najua kwa wanaume yashawatokeeni saana unakuta mwanamke anabonge la mzigo akipia watu macho kodoo. Binafc kuna manzi nilimfukuzia kama mvua mbili ananizungusha tuu. Siku...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana. Yani ni mayai sijui mnajimwagia.. Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawasalimu, Husika na kichwa hapo juu. Sasa utandawazi unazidi kufanya wadada wachanganyikiwe zaidi. Kama mjuavyo mitindo ya mavazi mengi yanazidi kupamba moto kulingana na mitandao ya kijamii...
19 Reactions
170 Replies
12K Views
Hii tabia yenu imenikera sana, nimeivumilia sasa nimeona bora niwaambie tu mkae mkijua kuwa hatuipendi. Mlianza kuvaa suruali, tumekaa kimya, mmetaka usawa tumekaa kimya, mmekuja kwenye hili la...
6 Reactions
61 Replies
15K Views
Habari zenu, Naomba niseme na mabinti wenzangu hata pia baadhi ya wamama wamejisahau. Hivi unawezaje kutoa mguu kwenu(kwako) ukiwa mikono mikaaaaavu? Binti unatoka huna khanga/mtandio khaaaa...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
1. 2 3 4 5 6 7 8 9 10. Huu unaitwa INAHUU 11. Huu mtindo nimemabiwa eti unaitwa utajiju 12 13. Nimeambiwa kwamba huu mtindo unaitwa staki mashauzi 14
3 Reactions
18 Replies
20K Views
Kuna tabia ya wanawake na wadada kufunga vibaya minywele yao ya bandia inakera sana, mtu uko kwenye daladala afu ujui umeachia minywele mingine migumu mirasta ya buku inawasha na joto lenyewe la...
3 Reactions
85 Replies
10K Views
Natamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo asilimia kubwa ya wanaume tunachukia kutoka kwao ni nywele bandia. Asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili. Ikiwa sisi hatuvutiwi...
17 Reactions
97 Replies
11K Views
Nilihudhuria msiba na hatimaye mazishi kwa kweli wanawake ktk msiba hiwa wanavaa kiheshimu mpaka inapendeza ila wakitoka hapo ni full majanga hivi kwann msivae ivo siku zote?
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wanaukumbi. Ama kweli hujafa hujaumbika, mrembo Khadija Omar, mkazi wa Kigogo, Dar amepata pigo kufuatia kupofuka macho alipokuwa akiwekwa nyusi bandia katika saluni moja iliyopo maeneo hayo...
4 Reactions
109 Replies
17K Views
Wanawake kwanini mnajiumiza na kujitesa hivi? Hii yote ili mgundue nini kwa mfano? Wanawake mtafika mbinguni mmechoka sana.
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari! Wanawake sasa naona mnajisahau sana kwenye swala zima la kutunza miili yenu. Msishtuke nitaongelea kitu kidogo tu, wanawake upande wa kuwa na matumbo/Vitambi ambayo yanaleta shida moja...
8 Reactions
103 Replies
7K Views
Back
Top Bottom