Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zetu warembo na watanashati. Hii tabia imeota mizizi sasa sijui kwa nini wanawake tunakuwa hivi? tena siku hizi vipodozi vya kubadilisha rangi vinatangazwa hadharani kabisa afadhali siku...
14 Reactions
174 Replies
20K Views
Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba. Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje...
1 Reactions
172 Replies
36K Views
Habari wakuu, Au nasema uongo ndugu zangu... Mwanamke nywele bana, yaani unywele alafu wa kwake sio fekero. Mtoto anaachia unywele unashuka mpaka kwa mgongo jamani. Nywele nzuri safi...
13 Reactions
171 Replies
5K Views
Habarini wadau Ni spray gani nzuri na yenye harufu nzuri ya kiume kwa matumizi mazuri ya sisi magentleman?
3 Reactions
171 Replies
53K Views
Hili pozi lao ukichanganya na nguo walizovaa inakuwa mtafaaruku kidogo jamani. Wadada hawa wakipozi tayari kupata picha ndani ya kiwanja fulani cha burudani. jamani wadada tujiheshimu basi kwa...
11 Reactions
171 Replies
34K Views
Nawasalimu, Husika na kichwa hapo juu. Sasa utandawazi unazidi kufanya wadada wachanganyikiwe zaidi. Kama mjuavyo mitindo ya mavazi mengi yanazidi kupamba moto kulingana na mitandao ya kijamii...
19 Reactions
170 Replies
12K Views
Habari waungwana Tuambizane ni mafuta gani mazuri kwa kutumia usoni kwa normal and dry skin.
2 Reactions
170 Replies
69K Views
Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha...
22 Reactions
170 Replies
13K Views
Habari ya 'weekend' wakuu? Mimi nimekuwa mpenzi sana wa uvaaji kofia. Na kofia ninayoipendelea zaidi ni zile wazungu waziitazo Ivy Caps. Lipo jambo moja ambalo nimelishuhudia tangu ninakua, ni...
5 Reactions
168 Replies
41K Views
Mamboz, Jamani kama mnakumbuka nilikua natafuta mchumba na hali yangu niliyonayo, wengi walijitokeza wakidhani natania labda, walihisi mimi ni mzuri sana ila natania. Kusema ukweli nipo kama...
13 Reactions
167 Replies
18K Views
Salaam! Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya. Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively..... Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na...
20 Reactions
164 Replies
8K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.. Nimeona kuna umuhimu kwa wadau tunaopenda masuala ya UNYUNYU kukutana hapa na kujuzana ni aina gani ya Perfume/Body Spray(s) kali ambayo(zo) tumewahi kutumia...
9 Reactions
163 Replies
41K Views
Ndugu wanaJF Kuna umuhimu wa kuogea sabuni yenye harufu nzuri tena ambayo mpenz wako anaipenda, ama waweza kuogea sabuni yoyote hata Omo ilimradi uwe umeoga? Nimeuliza hivi kwasababu sabuni...
1 Reactions
163 Replies
30K Views
Habari, Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga. Yes i know wengi mta-take...
5 Reactions
163 Replies
31K Views
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu...
11 Reactions
162 Replies
23K Views
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani? Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua...
12 Reactions
159 Replies
22K Views
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo. Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya...
6 Reactions
159 Replies
83K Views
  • Closed
Helo wenyewe, Leo ni weekend ni siku ya usafi.kuna sayansi ya asili nilifundishwa na bibi yangu jinsi ya kujinyoa huko bila kuacha madhara kama mjuavo nyembe zimekuja miaka huii tu naomba idhini...
1 Reactions
159 Replies
52K Views
Heri ya sikukuu ya sabasaba. Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia...
18 Reactions
158 Replies
9K Views
  • Redirect
Sikuhizi yale maneno ya 'mume ni wako akiwa chumbani' Panua paja mkwaju waja Shost danga langu niachie Maneno haya hayauzi jamani, maneno yanayouzika ni kama: Penzi la mama ni tamu Kwa bwana kila...
10 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom