Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Salaam! Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya. Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively..... Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na...
20 Reactions
164 Replies
8K Views
Salaam! Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu. Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua...
8 Reactions
146 Replies
10K Views
Habari za jioni wanajamvi Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔. Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta...
44 Reactions
320 Replies
9K Views
Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa vikoti fulani hivi vya kubana kwa mbali, hasa kutokana na umbo langu la mwili mwembamba kiasi. Naomba kujuzwa chimbo kali la suti za Kikorea kwa Dar, ahsanteni na karibuni.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake. Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika?? Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu...
1 Reactions
2 Replies
556 Views
Nilishangaa nilipokutana na mdada ambae tunajuana miaka na miaka, leo nashangaa ana mwanya, khaa, haya kautoa wapi? Wanachonga meno au wanatanua? Lakini pia wanatafuta nini?
3 Reactions
7 Replies
476 Views
Nguo za dukani vs mtumba zipi nzuri ili nipendeze jamani, najiona nipo local sana! Muonekano wangu ni mwembamba wa wastani, mrefu wa kati maji ya kunde, nina kashepu kwa mbali, napenda magauni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kumekuwa na fashoni ya kunyoa nywele kwa wanawake na wadada. Yaani wananyoa halafu wanapaka na bleach kwenye nywele. Wanaopendeza sana...
3 Reactions
68 Replies
3K Views
Nimezaliwa kijijini ambako maadili ya 'kiuanaume' yanalindwa sana. Moja kati ya meeengi ya kiuanaume ni kwamba ndevu unanyolewa na mkeo tu au mpenzi wako. Kwa maneno mengine ni kwamba unyoaji wa...
4 Reactions
8 Replies
905 Views
Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama. Mimi naamini huwa...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu. Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio...
15 Reactions
112 Replies
7K Views
Habari, Husikia na kichwa cha habari hapo juu, Kumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu. Hii fashion Kuna wenye kipilipili originali Hawa wanakuwa kama wehu. Yaani Kuna...
9 Reactions
137 Replies
6K Views
Habarini za Ijumaa wana mazoezi na wadau wote, Eti kujipulizia unyunyu muda wa kwenda mazoezini huwa kuna muingiliano na performance nzuri kwenye mazoezi?
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanaume kuvaa visuruali vya kuwabana, inamaanisha nini? tunajua wadada huvaa vinguo vya kuwabana ili kuwaonesha wanaume maumbile yao; je, mwanaume naye huwa ana lengo lipi? Nasema hivi...
9 Reactions
77 Replies
4K Views
Habar zenu. Mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke, inaninyima confidence kabisaa Kama dermatologist yupo anisaidie...
6 Reactions
120 Replies
5K Views
Kichwa kimenyooka bila shaaka, asee mimi naongea na wewe mwamba unaefuga kucha yaani kucha ndefu mkono mzima hua mnayatumia vip. Au huwa mnafeel vipi mkijiona na izo kucha wazee, mimi nimejaribu...
1 Reactions
12 Replies
729 Views
Nakereka na tabia za wanawake kukaa uchiuchi harafu wakiona wanaume huanza kuhangaika kufunika nyuchi zao! Hivi nyie wanawake wanawake mna nini lakini vichwani mwenu?
11 Reactions
64 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kumekuwa na aina ya viatu vingi vya plastic ambavyo watu huvaa na kupendeza. Hapo nyuma kidogo viatu hivi vya plastic ilikuwa vikiitwa yeboyebo. Watu waliokuwa wanavaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo? Boxer imekuwa nyeusi tii...
12 Reactions
118 Replies
4K Views
Back
Top Bottom