Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wakuu nisaidien hili tatito huwa nikipaka mafuta ya Vaseline petroleum jelly usoni baaz ya sehem chini y jicho huwa pana washa kias flan tatizo n nin et?
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Bei ya nywele za crotchet ni sh ngapi? Normally ina range vipi na bunda ngapi litatosha kwa kawaida, kwa wale ambao mnazisukaga hizi na bei ya kusuka ni 30,000 au wamenichuuza?
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Wadau ghrama za wastani za kubadilisha maumbile ni kati ya dola 4,000 hadi dola 5,000. kwa maelezo zaidi ya kimombo tafadhali pitia hapa chini. ===== What is the cost of buttock enhancement...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu na wakubwa shikamooni Naomba niende kwenye mada. Hivi vioo vya kwenye magari(hasa vya madirisha), vya majumbani (ambavyo nyumba nyingi tumezoea kuviona), vioo vya kwenye...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Salam ndugu zangu. Kuna mtu unamkuta mchafu, nguo chafu, anakolala kuchafu, meno machafu, anapenda kukaa sehemu chafu, anapenda kula kitu kichafu, anapenda kuoga maji machafu, masikioni mchafu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za mchana waungwana, Huwa najiuliza huyu aliyevumbua bra aliwaza nini? Hebu fikiria kusingekuwa na bra hivi tungeishije wanawake... Yaani bila bra wengine tusingetoka ndani... Kudos kwa...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama. Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu. Pia kama ni suala la...
4 Reactions
96 Replies
14K Views
wakuu habarini.nimeamua kuachana na lotion na kuanza bidhaa za asil.nilianza kutumia mafuta ya almond kwel baada ya siku kadhaa,,niliona mabadaliko ngozi yang ilianza kubadilika kuwa lain ila cha...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu habari za weekend. Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu. Kutokana na mdogo wangu kuwa na chunusi za muda mrefu imepelekea USO wake kubaki na alama na makovu ya chunusi. Je ni njia ipi...
2 Reactions
2 Replies
6K Views
  • Redirect
Habar wanajamvi..nmekua nikitokwa na mapele kila baada ya kunyoa ndevu...na vimekua vkiwasha je nawez kutumia njia gani ili kuzuia au kuondoa kabisa tatzo hili?
0 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wazee baba Holaaa holaaa mambo ni moto. Hatimaye harusi ya dada imekaribia na kama kaka wa makamo nimeambiwa lazima nivae suti. Sasa basi ni lazima nitinge suti kali kimodo fulani...
6 Reactions
62 Replies
14K Views
Hapo zamani za kale, wengi waliamini kuwa mvi ni dalili ya kuwa na hekima na pia mvi ni kiashiria cha uzee! Wale waliopata mvi mapema ujanani wengine waliambiwa kuwa hizo ni 'mvi za ukoo'! Kitu...
7 Reactions
25 Replies
30K Views
Unanunuavsimu mpya wakati uliyonayo insfanya kazi vizuri tu. Sababu ni nini hasa?
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajukwa, Kumekuwepo na wimbi kubwa sana la wadada na wa mama kupendeza (kunawiri) siku hizi za miaka ya 2000 hadi sasa ukilinganisha na miaka ya 1980s, 1990s hadi 2000. Nini siri ya urembo wa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Ukiondoa wale ambao ni kama ugonjwa ila kwa wengine mliobaki ni uchafu na kutojijali. Unakutana na bint mzuri kajipamba mwenyewe wanja , shedo , wigi , mikope na mikucha ya bandia, lakini...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kufuga hizi nywele yataka moyo kwelikweli. Zinakera na kuujaza moyo hasira unakuwa mtu wa stress pasipokuwa sababu! Kibaya zaidi huwezi kugundua kwamba ndizo zinazokupa stress hadi siku ukinyoa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nafikiri kwa kifupi tu. Naambiwa akina dada miili yao ni sensitive yaani ukimgusa mdada hasa sehemu fulani za maungio ni rahisi kupandwa na ashki.. SASA SWALI LA KUJIULIZA... Hivi ni kwanini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mke wangu ana vipele vingi usoni na ameshauriwa na wingi atumie sabuni ya zoazoa. Wasiwasi wangu ni isije ikamchubua akaanza kuwa mweupe. Wadau, kabla hajaanza kuitumia ningependa kujua kama hii...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
  • Redirect
Wadau naomba kuelekezwa lotion au cream yoyote nzuri ya kuondoa madoa na makovu mwilini hususani maeneo ya miguuni, magotini na mapajani. Nawasilisha naomba kuelekezwa, ukiweka na bei sio vibaya
2 Reactions
Replies
Views
Wanawake wanapata tabu sana kujikubali miili yao mpaka kuingia katika vishawishi vya kutumia dawa za kichina au kwa wenzetu nchi zilizoendelea kama marekani hufanyiwa operesheni au surgery...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom