Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
  • Redirect
Wasalam..! Kama nilivyo wasalimia kijana ni mgen kwenye huu mtandao, nimiez michache nimejiunga humu. Hapo mwanzo nilikiua nasikia jamii forum, lakin rafiki yangu juz, tukiwa tunapata mbili...
0 Reactions
Replies
Views
Wanabodi nawasalimu sana! Mi nimeshazeeka. Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku...
5 Reactions
71 Replies
8K Views
Nahitaji kujua wanawake wanavutiwa na rangi gani
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kinauzwa $17million. Kimetengenezwa na gold, patent leather, silk, na kupambwa na 236 diamonds. 15 carat flawless D-diamond center piece at the tip of each shoe. Viko Dubai, ukihitaji Info zaidi..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa cha mada kinavyo eleza hapo juu sijawahi hudhuria interview yoyote hata ya ulinzi shirikishi kifupi sina experience yeyote kuhusiana na interview. Mimi ni muhitimu wa chuo fulani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Redirect
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojiekeze mimi ni "ME", napenda sana kuzitunza na kufuga nywele zangu za kichwa.. So naomba kufahamishwa mafuta mazuri ambayo yatanisaidia kulainisha nywele...
2 Reactions
Replies
Views
Kama kuna kitu kimetushinda wababa wengi ni kujua mkeo anataka nini hasa kwenye ishu nzima ya mitindo ya nywele za kusuka, hebu pata darasa la bure hapa mitindo michache ili usibabaike shemeji...
8 Reactions
30 Replies
20K Views
Habari za jioni ni mafuta gani mazuri ambayo upakwa kwenye ndevu zikawa na muonekano mzuri
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wakuu, Kuna watu huwa wanatumia nguo za ndani kwa muda mrefu bila kununua mpya. Kiafya, nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu baada ya kuinunua, kisha itupwe au ichomwe moto...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari zenu jamani,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa...
6 Reactions
93 Replies
15K Views
Habari za asubuhi Wakuu. Bila ya kupoteza wakati nijikite kwenye mada tajwa hapo juu. Ni asubuhi iliyonjema kabisa kila mmoja wetu akiwa na pirikapirika yake ya kujitafutia riziki ya kila siku...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi baadhi ya wadada huwa wanafanya nini na hizi ball dresses baada ya shughuli maalum?! Huwa wanauza ama?!, maana kuivaa nguo kama hii mara mbili wadada wa mujini huwa wanadai "it's cheap"
10 Reactions
41 Replies
6K Views
  • Redirect
Habari wana jamvi. Naomba kuelekezwa mafuta mazur ya nywele kwa wanawake, yenye kukuza, kujaza, kunenepesha, na kuifanya nywele iwe na rangi yake asili. Niombe kutajiwa jina na bei yake...
1 Reactions
Replies
Views
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali. Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine...
14 Reactions
151 Replies
12K Views
Habarini za weekend ndugu zangu na polen na maisha ya Tanzania. Back to the topic, naomba kujuzwa hivi kwanini nguo aina za madera ambayo huvaliwa na wakina mama au wakina dada yamechukuliwa kama...
2 Reactions
70 Replies
28K Views
Kama kuna mtu amewahi kutumia hizi bidhaa tafadhali Jee ni kweli zinafanya kazi mwilini? Jee zinang'arisha ngozi? Kuna mtu amewahi kutumia?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari wajuvi, Nikichana nywele kichwani hua panatoa vumbi nilizani labda ni wingi Wa nywele kichwani hivyo basi nikamua kuachana na ufugaji Wa nywele nyingi na kuanza kutumia aina mabalimbali...
0 Reactions
Replies
Views
World News Queen Elizabeth Makune is Miss Tanzania 2018 By Missosology - September 10, 2018 0 232 Queen Elizabeth Makune was crowned Miss Tanzania 2018 during the finals held September 8 at the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Redirect
Lemutuz Aikosoa Vibaya Miss Tanzania "Aibu ya Gari Mmejiletea Wenyewe Mlipoamua Kuwashambulia Miss Lake Zone" William Malecela aka Lemutuz ameonekana kutofurahishwa na zawadi ya gari aliyopewa...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom