Tupo kiwanja na wana tunamalizia weekend. Kaja jamaa kaongozana na mrembo mzuri tu lakini alivyokuja kutusalimu hiyo harufu ya kinywa ni balaa. Mwana katutambulisha jamaa katoka mkoani.
Ni hayo...
A Showcase Of African Designs At The Lagos Fashion Week
The highlights of the 2018 Lagos Fashion Week held from the 24th-27th of October.
Lagos Fashion Week is a fashion platform that drives the...
Ngozi kama kiungo cha mwili:
Ngozi ndicho kiungo kikubwa kuliko viuongo vyote vya mwili wa binadamu. Kazi kubwa za ngozi ni kuvifunika viungo vingine vyote kwenye mwilini na kuvilinda dhidi ya...
Wadau naombeni ushauri nina ttzo la kunuka miguu wapendwa hata kama sijavaa viatu yaaan nakosa amani pale ninapofanyiaa kazi
Nina socks sio chini ya pea kumi viatu kama pea sita hv nabadilisha...
Habari za jumapili wana JF.
Katika masuala ya mavazi kuna mambo Mengi sana. Unakuta watu wamelingana kimo kila kitu hadi rangi na hata hadhi ktk jamii. Lakini wanapovaa kuna mmoja anasifiwa sana...
kuna jamaa yangu ameniomba nimsaidie kupost hizi vitu anauza kwa bei nafuu sana ili amalize akalete mzigo mwingine maana analetaga nj'e kutoka dubai na china...kwa atakayehitaji amtafute kwa...
Tuwe tunajitathmini kabla ya kuvaa hili vazi mana utakuta mtu kwapa jeusi,anavuja mijasho,hajanyoa au kwapa lina mamichirizi hata kama umependeza kiasi gani hizo huenda zikawa kasoro za utanashati...
Habari wanajamii forums hopefully mko fine.
Leo nilitaka kuwaambia wanaume wenzangu ambao walikuwa na maswali kama
1. KWANINI WANAWAKE NI WABAHILI SANA?
2. HIVI WANAWAKE HELA ZAO WANAPELEKA...
Habari zenu Waungwana,
Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi
kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo...
Wakuu habari za jumapili, kumekuwa na wimbi kubwa la wadada na wamama kusafishwa na kusuguliwa miguu kwenye baadhi ya vituo na maduka ya urembo.
Je utamaduni huu mpya unaongia kwa kasi katika...
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za...
Wasalamu wakuu,
Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.
Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa...
Haya wale team ma feki ma wigs mjue watu weusi hatuhitajiki duniani,walishwapata kwenye kujichubua hadi mwenzenu akiwa mweusi mnamcheka utasikia eti mweuuuusiiiiiiiiii huku mmekunja na sura sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.