Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Haya wadau. Katika pita pita yangu mwisho wa mwaka, nikampata shemeji yenu (mchepuko) ni mzuri balaa, mtoto wa tajiri, elimu masters level.. Makazi ni kwa matajiri Capripoint Mwanza, baba...
9 Reactions
197 Replies
39K Views
Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu! Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni...
3 Reactions
194 Replies
11K Views
Jamani najua mko poa! Hivi siku hizi kila kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni, hayo mabebi ni makubwaa sana, na yamekaa kishamba shamba hivi. Mengi Yao yameandikwa Biowang mengine...
21 Reactions
192 Replies
10K Views
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni. Shida...
13 Reactions
191 Replies
22K Views
Huyu mbunifu ambaye amemshonea Raisi John Pombe Magufuli hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana!
25 Reactions
190 Replies
28K Views
Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer zenu mara ngapi kwa wiki? Au mpaka itoe kile kiharufu cha ubeberu...
8 Reactions
188 Replies
12K Views
Habari wadau.. Kiukweli mimi ni mkristo.. Ila napenda sana wadada wa kiislamu wanavyovaa mavazi yao na ushungii Yaani yana staha sana na yanafanya uone mumewe anaenjoy sana.. Unamkuta mdada...
80 Reactions
179 Replies
71K Views
Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23. Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili? Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza...
13 Reactions
178 Replies
11K Views
Kuna kitu cha kipekee sana juu ya wanawake ambao wako hivi, Sijui ni mimi tu na macho yangu, lakini mwanamke wa hivi naweza honga hata nyumba. Huwa najikuta nawapenda bure tu...Rangi ya ngozi na...
17 Reactions
178 Replies
23K Views
Kina dada naombeni msaada wenu, chupi nzuri za kike za pamba nazipata wapi hapa mjini Daslam. Nataka kumnunulia mpenzi wangu chupi nzuri na bora kabisa ziwe zinanitunzia asali yangu...
5 Reactions
177 Replies
23K Views
Swali kwa wadau wote wa boxer. Swali jepesi sana. Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi. Siijajua kwa ninyi wadauu Kuwa mkwelii tu
2 Reactions
177 Replies
13K Views
Aina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake...
11 Reactions
176 Replies
21K Views
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani. Nawaza kutumia...
16 Reactions
175 Replies
6K Views
Habari wandugu' Jamani mpaka nimefikia kuandika hapa ni ile tabia ya kina dada kuacha nywele nyiingi sehemu za siri Nilikutana na mwanamke duu! kiukweli badala ya kufurahia mapenzi alinitia...
17 Reactions
174 Replies
30K Views
Napenda sana meno meupe na yaliyopangika vizuri. Na kwa bahati nzuri nimejaaliwa kuwa na vyote viwili pasipo na msaada wa dental braces wala retainers. Na meno ya njano njano huwa yananichefua...
20 Reactions
174 Replies
44K Views
Habari zetu warembo na watanashati. Hii tabia imeota mizizi sasa sijui kwa nini wanawake tunakuwa hivi? tena siku hizi vipodozi vya kubadilisha rangi vinatangazwa hadharani kabisa afadhali siku...
14 Reactions
174 Replies
19K Views
Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike. Kwa mfano...
21 Reactions
174 Replies
48K Views
Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba. Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje...
1 Reactions
172 Replies
36K Views
Back
Top Bottom