Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Mimi ni mwanaume rangi yangu ni black by nature kuna baadhi ya lotion hua nikipaka huanza kuharibu asili yangu. Wakuu naomba kujuzwa ni aina gani ya ingredients ambayo ikiwa katika mafuta huathiri...
0 Reactions
46 Replies
15K Views
  • Redirect
JINSI YA KUONDOA CHUNUSI USONI KWA KWA HARAKA ZAIDI. Na:Mr tibalishe Chunusi ni vipele vinavyojitokeza katika ngozi hususan sehemu za usoni, kifuani na mgongoni kutokana na mafuta kushindwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Yapi mafuta mazuri ya nywele maaana nywele zangu nyekundu halafu hazina. Afya..nisaidieni wakuu
0 Reactions
Replies
Views
Tuacheni masiala wana jf katika awamu zote zilizo pita hakuna awamu ngumu kama hiii ambayo vijana wengi wamejikuta either wamesingiziwa mimba au wametegeshewa mimba ni awamu hiii. Sasa hivi bana...
8 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Redirect
Kabla ya kuamua kupunguza uzito, Wengi huchukizwa na muonekano wa sehemu za tumbo, mapaja na mikono. Hivyo ni rahisi zaidi kupunguza uzito kama utaondoa nyama zembe katika sehemu hizo. Ili...
1 Reactions
Replies
Views
Jamani wenye maduka ya fashoon plus size women tunahitaji boyfriend jeans! Boyfriend jeans hazitakiwi kubana mapaja (plus size) mwenye nazo awasiliane nami!*ziwe kama hivi Zisibane😋size 34-36
5 Reactions
13 Replies
4K Views
  • Redirect
Jinsi ya kuondoa chunusi usoni kwa njia ya asili fuata hatua hizi. 1. Mdalasi na asali ndio mahitaji yetu Tumia mchanganyiko wa asali na mdalasini wa unga kwa kupaka angalau mara moja kwa siku...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kabla ya kuamua kupunguza uzito, Wengi huchukizwa na muonekano wa sehemu za tumbo, mapaja na mikono. Hivyo ni rahisi zaidi kupunguza uzito kama utaondoa nyama zembe katika sehemu hizo. Ili...
0 Reactions
Replies
Views
Hivi kwanini wanaume walio wengi sio wote wako na lips nzuri kulinganisha na wanawake. Lips za wanawake ni za kawaida sana ila wanaume wanakuwaga na lips nzuri zinavutia sana mpaka mtu...
6 Reactions
55 Replies
14K Views
Wakuu habarini za usiku huu, Nimeandika andiko hili kutokana na kumuona Mh. Rais tangu ameanza kufanya ziara Mikoa ya Kusini hajabadili koti na kila tukio ninalomuona kwa siku za hivi karibuni...
6 Reactions
63 Replies
9K Views
Hii ishu inatokea sana, unakuta una nguo yako pendwa sana ukiifulia sabuni ya unga tu rangi yake halisi inapotea na inakuwa na weusi uliofifia, mfano jeans nyeusi, au T-shirt nyeusi nk. Hivyo basi...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Kumbe nywele zetu zikitunzwa vizuri zinaweza kuwa ndefu kabisa. Huwa ninamfuatilia huyu dada Youtube, ni Mkenya anaishi Australia. Angalia nywele zake zilivyo ndefu na hapo ni bila dawa ya aina...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Redirect
Habari jamani, naomba msaada wa kujua ni Body Spray ipi kali kwa wanaume? Natanguliza shukrani
0 Reactions
Replies
Views
habari kama kichwa kinavojieleza hapo kuna sehem nilisikia ukichanganya baadhi ya pyafum au body spray zaidi ya moja znatoa harufu nzur halafu unique ningependa kujua mnapendekeza zipi asanteni
1 Reactions
82 Replies
12K Views
Ni kuonesha shepu? Au nini ? Na kama ni kuonesha shape ili iweje na wengine wameolewa ? Picha kwa hisani ya Facebook
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Mavazi ni mahitaji ya msingi lakini kipato cha mtanzania kikidumaa kila siku.Jana kwenye shopping zangu nikasema 100,000 ngoja niitumie kwa mavazi leo.Nikapita mitaa ya sinza na mabibo.Yaani...
8 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari Jamani nataka kuanza kufanya scrub, nina uso wa mafuta hivyo basi ningependa kujua vitu gani vya kuzingatia ili niwe na matokeo mazuri. Na je, ni salama kufanya katika saluni zetu hizi za...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnisaidie, kibongo bongo ni ipi best hair remover cream au hata hair inhibitor cream? Aina na bei zipoje?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wazee, Nipo kwenye foleni za hapa town muda huu, kama unavojua Dar es salaam barabara nyingi za hapa ni ile two ways in two ways out. Upande wangu wa kushoto kuna dada anaendesha IST...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom