Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Jana kwenye msiba wa Masogange (R.I.P) nilipata kuwaona wasanii wengi wakiwa nje ya studio za kufanyia shooting. Wengi walikuwa na muonekano wao wa asili usioboostiwa na make ups. Wengi kwa kweli...
4 Reactions
33 Replies
26K Views
Habari zenu wapendwa, poleni na kazi na mihangaiko. Niko Dar, naomba mnisaide kuniambia sehemu nzuri ambako wanatengeneza rough dreads vizuri sana. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Siku hizi kumekuwa na kawaida ya kungarisha meno yaliyoungua yanakuwa meupeee ..jamani ni wapi wanatoa hizo huduma na gharama zake plzzz kwa anaejua
1 Reactions
27 Replies
11K Views
  • Redirect
Habari wakuu naomba mwenye kujua wapi Naweza pata huu. Unyunyu anijuze
0 Reactions
Replies
Views
Nimejaribu kuulizia sana kama hawa jamaa wana agent wao hapa nchini kwetu au Africa mashariki kwa ujumla sijapata, zaidi ninapata bidhaa zao lakini kiukweli sio original kwa zile ambazo...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Habari zenu wazee baba Holaaa holaaa mambo ni moto. Hatimaye harusi ya dada imekaribia na kama kaka wa makamo nimeambiwa lazima nivae suti. Sasa basi ni lazima nitinge suti kali kimodo fulani...
6 Reactions
62 Replies
14K Views
Naomba kuuliza, hivi ni wapi nitapata pete halisi (original) ya dhahabu kwa gharama isiyozidi milioni moja? Napenda sana kuvaa pete nzuri, ndiyo urembo wangu.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimejaribu kuzunguka maduka mengi nimekosa naombeni location wakuu...Nipo mwanza kwa sasa ila next week nitakuwa Dar
3 Reactions
10 Replies
749 Views
Heshima kwenu wakuu, nasikia hayo mafuta ni mazuri kwa nywele. Je kuna yeyote aliyewahi yatumia humu? Yanapatikana wapi kwa Dar? Bei yake ikoje?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hapa sinzungumzii bidhaa za yule msanii mwana FA la hasha bali ni za ile chapa ya FA, wanakuwa na deodorant nzuri sana. Mimi huwa napenda hasa ile imetengenezwa kwa watermelon. Sasa nmejaribu...
0 Reactions
2 Replies
564 Views
Habari Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu zangu naombeni kufahamishwa.
1 Reactions
4 Replies
742 Views
Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho. Jana nimepita...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Natafuta darasa la mitindo (fashion design) na hair styles and design la muda mfupi kama mwezi au miezi mitatu. Mwenye kujua naomba anipe direction na contact zao kama pia anazo darasa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mpenzi wa vikoti fulani hivi vya kubana kwa mbali, hasa kutokana na umbo langu la mwili mwembamba kiasi. Naomba kujuzwa chimbo kali la suti za Kikorea kwa Dar, ahsanteni na karibuni.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, wapi ntapata mac powder na foundation yake original? Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata naomba anielekeze tafadhali! Natanguliza shukrani
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama kinavyo jioneshe kichwa cha habari waungwana mimi ni mkaazi wa Dar lakini ni mtu wa kutoka sana bara hili la Africa kumenifanya nisizijue sehemu nyingi za jiji hili naomba kwa anaejua sehemu...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
  • Redirect
Wapendwa, heri ya mwaka mpya! naomba nisaidieni mwenzenu, nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa...
0 Reactions
Replies
Views
Wapendwa, Heri ya mwaka mpya! Naomba nisaidieni mwenzenu, Nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom