Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Km headline inavyojieleza. Tukianzia zile za kibongo bongo,za kina chibu hd ma-hismiyake. Upi ni uturi the best for you mdau? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
3K Views
hello warembo na watanashati, Ni lotions gani za wadada ambazo ni maarufu ila hajizapigwa marufuku, sio fake na ni nzuri kwa viwango vyake, zenye bei ya kati 5,000-20,000. Sio vibaya ukinitajia...
2 Reactions
43 Replies
17K Views
Inaweza kuwa ajabu na kushangaza kwani barakoa zimegeuzwa na mamodel wa kileo ktk masuala ya urembo ambapo wanavaa kuziba chuchu zao, Je ni sahihi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama Unapokaa Au kwa rafiki zako Au jilani kuna ma sinki ya choo yaliyoshindikana kwa uchafu.. Kiboko yao ipo. Tafuta dawa inaitwa NEW HARPIC nais haizid elfu 13. Kutokana na location uliyopo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Dressing codes have a story to tell about you even before you speak. It creates an attraction wave to the people around you each second. Why dont you try this combination and walk out one day in...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu anae jua dawa ya meno ya ALOE VERA AirSun inapatikana wapi anijuze. DONDOO: Toka mfungo wa Ramadhani ulipoingia, nielienda kujumuhika na familia yangu kijijini japo sikuwa nimefunga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mm kiukwel sina style maalum Yan najikuta nishakaa kwenye kiti kinyoz akiniuliza sina chakumjib Ebu weken style zenu zakunyoa na majina yake aseeh ili na sisi tupendeze. Sent using Jamii...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Tujulisheni mavazi ya kuvaa wakati wa sendoff hususani kwa mwanaume.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kumekuwa na tatizo kubwa la nguo feki kuingia katika soko letu la nguo nchini na tujuzane njia mbalimbali za kugundua nguo hizo kwa u rahisi iwe jeans,suruali za vitambaa n.k
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini nyote nawaletea salamu changamfu kabisa kutoka West Monroe, USA. Wanaume wengi tunakumbana na changamoto ya kutokewa vipele tunaponyoa ndevu na viarufu flani hivi. Kuna hizi bidhaa za...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wadau, Anaeijua hii bidhaa inapatikana wapi anijulishe nna shida nayo sana time will tell
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu,binti yangu anataka kuwa mbunifu wa mavazi,elimu yake ni form six, je nimpeleke kozi gani itayomfaa??? Msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi ni mzuri wa sura tu jamani japo sio sana nataka niiweke sawa zaidi means ing ae mimi ni maji ya kunde sio mweupe sio mweusi lotion gani nitumie nipendeze zaidi. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zen wakuu...jamani eeh nipo kwenye baridi yaani hata upake mafuta ngoma inadunda..yaani napauka mpaka nahic ngozi inachanika...nimeambiwa nipake glycerine je hiyo kitu haina madhara...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa wale Wajuzi wa mambo ya urembo naomba kujua kama hilo linawezekana kwani nina rafiki yangu Mdada, ni mrembo na ana chale mbili ndogo kwenye mashavu yake. Bado sijamuuliza kama zinamkera ila...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Kaa ukijua kuongeza kg ni rahisi sana kuliko kupunguza hahaha yaani kupunguza sio poa. Kupunguza kg 2 tu mziki wake sio wa kitoto... Jiwekee tabia ya kufanya mazoezi japo dk 30 kwa siku. Magonjwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu hawaendi kutembea kwa sababu ya Corona , ni kula tu kisha kutulia ndani, sasa unapodai nguo za Sikukuu ili iweje ? unataka uwende ukatemee wapi ? Wake zetu muda mwingine wanawaza wnayojua wao.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Naomba kuuliza wadau, hivi Kuna uhusiano gani Kati ya rangi ya Ngozi ya binadam na rangi ya nywele zake,? Je kuna uhusiano wowote ule? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Redirect
Wengi tunajua tunawaonaje wanawake wanaovaa vikuku, sisi tunawaza mengine, wao wanasema ni urembo tuu. LEO FUNGUKENI HAPA, KWANINI MNAVAA VIKUKU?
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom