Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae? Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu...
13 Reactions
88 Replies
8K Views
Jamani nakerwa na harufu ya madawa/mafuta anayotumia mpenzi wangu kwenye nywele zake ila ndo sina jinsi sasa maana nikimwambia anyoe nywele kichwa ndo tatizo tena. Sasa wanaume wenzangu hili...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Habari wakuu, Baadhi ya watu hawajui kutofautisha matumizi ya perfume na body spray?! Je wewe wajua?
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF Naomba mnisaidie ni powder gani inafaa kwa Uso wenye ngozi ya kawaida kwani nilikuwa napaka nikipaka powder napata rashes . Powder nilizopaka ni: =Ponds =Royal =Mac =Family...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari za mihangaiko ya hapa na pale kutafuta chochote kitu wana JF! Unaonaje fashion hii ikarudi tena miaka hii?
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Kwa wale wataalam wa kuchanganya hayo manukato na kupata harufu ambayo ni nzuri haikeri na inakaa muda mrefu, embu tupeni formula mchanganyiko upi ni best kwa maoni yako?
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Wadau, Bila shaka mmeshatazama porn video za black. Sasa kuna yale mafuta wanapakwa wadada kwenye makalio then makalio yanang'aa na kunona zaidi. Anaejua jina la yale mafuta na yanakopatikana...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Nianze kwa kuwatia moyo wapendwa! "Kuisha kwa koleo siyo mwisho wa Uhunzi" Karibuni kwenye mada hii ya Chupi mujaarabu! Chupi kama neno asili, ni ile nguo ndogo ya kwanza ya ndani kabisa...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Jamani leo nimeona leo niliongelee hili kuna baadhi ya wadada tunatiana aibu unakutana na mdada shughurini /njiani tena mchana amejipodoa kama kinyago amepaka poda sio ya rangi yake mwenyewe...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa. Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari zenu. Kwa kweli mimi ambaye natumia muda mwingi mkoani, nikija Dar na kwenda mjini yaani maeneo ya Posta, ambako inasemekana ndio shughuli za kitaifa hufanyika, wanaume wengi sana huku...
4 Reactions
37 Replies
7K Views
Benefits of Apple CiderVinegar 1.Stimulates scalp to promote hair growth 2.Cleanses hair without stripping natural oils 3.Removes build-up from chemical products 4. Helps hair retain moisture for...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Kila siku mamilioni ya wanawake hujipaka lipstick bila kufikiria hata kidogo – wanachojali wao ni muonekano na urembo wao. Kikubwa wasichofahamu ni kwamba baadhi ya lipsticks zimegunduliwa kuwa...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Napenda sana uvaaji wa huyu bingwa. Kila Nguo inamkaa fresh.
0 Reactions
29 Replies
7K Views
  • Redirect
Natafuta Mtaalam au taasisi inayoweza kumuondolea mdogo wangu tatooo ya kudumu aliyojichora miaka 15 ilopita Plz tuwasiliane PM au kwa 0712 667 669 kwa anayejua taasisi au mtaalam
2 Reactions
Replies
Views
kama mnaweza kuiga mashosti
6 Reactions
50 Replies
7K Views
Habarini wana Jamvi ...! Binafsi kwa sasa naishi mkoa wa Morogoro baada ya kuhamishiwa kikazi mkoa huu, nikitokea DSM.. Nimekuwa napata shida na maji ya chunvi ya mkoa huu, kiasi cha kuniondolea...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Wakuu, Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu. Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio...
15 Reactions
112 Replies
7K Views
Back
Top Bottom