Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Ua zuri lenye harufu ya kuvutia mi nalifahamu kwa jina la KILUA, haya maua nayaona sana maeneo ya pwani ebu wanayoyafahamu wanieleweshe zaidi kuhusu huu mti unaotoa haya maua.
2 Reactions
12 Replies
4K Views
  • Redirect
Poleni na msiba wa kipenzi chetu sisi wanyonge! Ebana, mimi nina mtazamo hasi kwa wanawake wanaovaa vikuku miguuni, huwa nawaona most of them kama malaya tu. Sasa sijui ndio ushamba wangu wa...
5 Reactions
Replies
Views
Msaada naomba mnambie mafuta gani hukuza nywele haraka kwa mfano umenyoa zote kichwan Sasa unataka ndani ya Mwezi au miezi ziwe ndefu za kuchana
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Poleni na ugumu wa maisha… Hapa kazi tu ! Wanaume mpo ? Kuna kasumba fulani kwa wanaume wengi hapa Tanzania. Wakioga hawapwndi kabisa kupaka mafuta na hata akipaka anapajipaka usoni tu na...
4 Reactions
112 Replies
13K Views
Kuna clip niliwahi kuisikia ya mh Rais wakati akiwa makamu wa Rais akieleza jinsi alivyopitia hatua mbalimbali mpaka kufika alipokuwa. Moja ya Jambo ktk maongezi yake alilosema ni kuwa kabla ya...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Ladies Naomba Majibu Tujue Mnapendeza Ili iweje
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wadau,poleni na msiba. Nauliza wazoefu wa kubadili shirt la rangi nyeupe kuwa la rangi ya blue,mnatumia ile blue powder ya kipindi kile? Na je nguo itaendelea kung'ara kama awali ikiwa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mavazi mengi tumeiga. Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani. Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles. Hili vazi LA dera sijui dela asili yake ni wapi. Nimefuatilia sioni...
3 Reactions
95 Replies
10K Views
Bei, ubora na sifa zake nyingine
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF, Nimekuwa nikifanya utafiti mdogo wa wanaume wengi wanaojihusisha na ubunifu wa mavazi duniani kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja lakini nikashindwa kupata majibu yaliyo...
3 Reactions
716 Replies
130K Views
Dunia imeenda kasi sana yaani viskirt tight leo hii imekuwa Ni fashion?si nguo za ndani hizi mnavaa mpaka mjini barabarani hamna aibu msichokijua Ni kuwa wanaume tunapenda wanawake wanaojisitiri...
13 Reactions
93 Replies
13K Views
Usafi na mpangilio mzuri wa vitu vya ndani huenda pamoja. Huwezi kuwa msafi lakini ushindwe kupanga vitu vyako vizuri. Wana saikologia husema mpangilio mzuri wa vitu husaidia akili kutulia...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Baada ya jana mwenyekiti Msolla kufafanua kwa ufasaha issue zinavyoenda na jinsi maadui wa team hiyo walivyo hack simu yake na kumtukana Metacha Mnata kwamba ni duka na mchawi mambo yameendelea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa aliewahi tumia perfume hii iitwayo fiero naomba anipe dondoo zake: i)Bei ii)ubora wake wa harufu/kunukia
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Kumekuwepo na ongezeko la Idadi kubwa ya wanawake wanaotoboa pua zao na kuziwekea vipini. Nani aliwadanganya wanapendeza kuvaa hereni puani?
8 Reactions
105 Replies
16K Views
Umezaa ,Hujazaa ila unataka Kitumbua ambacho mlaji akila ,anapagawa Imarisha Misuli Kazi kwenu[emoji116]
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Maana kila mtu anayo harufu yake..... Hebu fikiria? Utamwachia nawe upo taaban ...!
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Kapita mdada huyo amejikiroga koroga na mikorogo amebabuka kama kababu aisee nimerudi nyumbani nimeshindwa kula hata nyama. Hivi nani kawaambia mkijibabua ndo tutawapenda kwanini hamthamini rangi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Unakuta mdada mzuri wa sura anavutia usoni ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia. Wengine hata hawajazaa bado lakini tumbo lishaanza kuvutwa na gravitational force, hivi hizi bia...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Back
Top Bottom