Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wakati janga jipya la virusi vya corona lilipoibuka duniani limesababisha kila kitukikwame. Ugonjwa huu umekuwa na atharikubwa katika karibu kila sekta, hasa biashara yamitindo ambayo ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Wakuu saalam nyingi kwenu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu. Kijana mwenzenu nimekata shauri ya kuwa na mke hivo nimeanza mchakato wa kufunga ndoa. Ninaomba ushauri wa rangi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
wakuu kwema? Binafsi niko safarini kuelekea mkoani katika harakati za kutafuta grisi ya kulainisha ugumu wa maisha. Hii safari yangu imekuwa mbaya sana kuliko safari zote nilizo wahi kusafiri...
6 Reactions
54 Replies
8K Views
Unanunua raba nyeusi ya turubai ambayo hupati kirahisi aina hiyo tena. inapauka ikiwa mpya. unairudishiaje weusi tii wake?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni mara kadhaa nakutana na nguo ikiwa na kidude chenye lebo au maandishi ya kumtaka mtumia nguo kukikata au kukiondoa kabla hajafua au kuivaa nguo hiyo. Nauliza je kama pana mtu ameshakutana na...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Makuti ni majani ya minazi yanayopatikana katika mikoa ya kando ya bahari hasa katika nchi za kitropiki. Makuti husukwa viungo na viungo hufungwa kwenye miti au mbao za nyumba ili kuzuia jus na...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu? Mashoga wengi huku Temeke wanavaa pensi za jinzi . Mara nyingi hizi pensi zao zinakuwa na sifa zifuatazo; - Fupi (hazivuki magoti) - Zinabana mwili - Zimetoboka au kuchanika...
19 Reactions
98 Replies
18K Views
What makes you a man? Perhaps in every man lies this kind of sense, what makes him stand out from all the other men, the important things that add to your confidence, to your values and most...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Wapo baadhi ya watu nimeona nywele zao zikiendelea kuimarika siku hadi siku baada ya kuathiriwa na Upara. TID, huyu jamaa kuna kipindi alinyonyoka kabisa. Kipara kilikuwa kikionekana wazi wazi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini wadau. Naomba kujuzwa wapi naweza pata perfume ya Olympea na bei yake? Ahsanteni.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
He is pursued by people that find him sexually attractive. Is able to bypass the talking phase entirely. Sex is offered to him. His appearance will be talked about in a group setting right in...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.. Nimeona kuna umuhimu kwa wadau tunaopenda masuala ya UNYUNYU kukutana hapa na kujuzana ni aina gani ya Perfume/Body Spray(s) kali ambayo(zo) tumewahi kutumia...
9 Reactions
163 Replies
41K Views
Kuzuia ama kupunguza stretch mark za tumboni kwa wajawazito, asubuhi na muda wa kulala unakua una massage tumbo lako taratibuuu na mafuta ya Nazi Au Oliver oil. Chunusi, paka unga wa dengu na...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku . Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wana JF msaada tafadhali,,,kwa anayeifahamu lotion ya KERI SHEA BUTTER naomba kujua kama ni nzuri kwa kung'arisha ngozi na kufanya mwili kuwa na rangi moja. Na je inauzwaje?
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Nahitaji suti ya harusi, bei poa, kali na yenye rangi ya kisasa. Nijuzeni ni rangi gani nzuri na nitapata wapi kwa hapa Dar. Asante.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna sketi nilinunua kwajili ya kufata bei cheap kwaiyo nikajikuta nimenunua sket nying muundo ule ule kasoro rangi hadi naulizwa nilizipendea nini. Hata mwenyewe sometime naona shida hadi kuvaa...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Diana alikuwa binti mrembo sana mtaani kwao. Alishinda na bibi yake tangu akiwa mdogo, hii ilitokana na kuvunjika kwa ndoa ya wazazi wake na mama yake kurudi kwao Burma. Vijana wengi...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Rafiki angu alizaliwa ivyo kama unavyomuona je kuna lotion yoyote ambayo inaweza kumsaidia au ni genetics tu?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? Natumai mnaendelea vyema kulisukuma gurudumu la maisha hususani kipindi hiki cha huu ugonjwa wa corona. Niende moja kwa moja kuhusu mada hapo juu, naomba kujuzwa bei ya jumla...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom