Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kama mnavojua msichana akijifungua, mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia. Hasa weupe sana ndio huadhirika zaidi. Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo, isiwe mkorogo.
0 Reactions
26 Replies
43K Views
Wapendwa naombeni mwenye kujua nywele zangu niliweka dawa na ni fupi ila sio sana natamani ziwe kama hivi[emoji116][emoji116] Je, zitakuwa nzuri kweli?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu zangu naombeni kufahamishwa.
1 Reactions
4 Replies
732 Views
Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya. Yaani kwakweli natamani nisinyoe, maana unakuwa unaonekana kama nini vile.
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Amani iwe nanyi! Ndugu zangu kuna hivi vihereni vya puani, dah yaani mdada akivaa nakosa kabisa ile kuvutiwa kukaa nae hata kupiga story tuu, yaani akinipikia naweza kabisa nisile alichokipika...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa sasa vitambi sio kwa wanaume pekee bali hata hawa jinsia ya upande wa pili nao wametupokea tena kwa kasi nguvu na shauku na wanakuja kwa kasi sana nowdays. Kulikuwepo na fedheha nyingi toka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa asili mimi ni mweupe lakini kuna hali ya weusi kwenye paji la uso hali inayofanya kuwa na rangi mbili. Kwa mtaalamu mwenye uzoefu na hii hali maana JF ina watanashati wengi tuelimishane ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WAMASAAI WAMESEMA MAVAZI ALIYOVAA *DIAMOND KATIKA TUZO HUKO BET NI MAVAZI YA KIKE Urembo aliovaa shingoni kuanzia alioubana na ulioning'inia ni mavazi ya wanawake wanaovuka rika. Pia nguo...
9 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za majukumu wapendwa, nafikiria kufanya ukarabati wa sofa zangu so ningependa kuuliza kitambaa kizuri na bei zake kwa wajuzi tafadhali
0 Reactions
3 Replies
3K Views
  • Redirect
Cover za sofa za uturuki zimewaili Full set ni 3x2x1x1 185,000/- 0713691101 call whatsap/telegram Tunakufikia popote ulipo Mikoa yote tunatuma
1 Reactions
Replies
Views
Habarini za jioni, Ningependa kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa watu wote kwenye jukwaa hili walioonyesha nia ya dhati ya kunisupport tangu naanza kufanya hizi shughuli za kushona mpaka leo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanawake ni kundi lenye majukumu lukuki katika siku, pamoja na majukumu hayo usafi na urembo ni jambo muhimu pia. Wanawake wengi wamekuwa wakizingatia zaidi nywele na uso huku wakiacha miguu na...
11 Reactions
37 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Kwa siku ya jana na leo vazi pendwa la wanawake wa mjini dera na kijora vimepamba sana mjini. Hivi sifa za wavaa hayo mavazi ni zipi?
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kuna kitu cha kipekee sana juu ya wanawake ambao wako hivi, Sijui ni mimi tu na macho yangu, lakini mwanamke wa hivi naweza honga hata nyumba. Huwa najikuta nawapenda bure tu...Rangi ya ngozi na...
17 Reactions
178 Replies
23K Views
Hello, Kama title inavyo sema,sitaki kusema mengi Binafsi nguo yangu ya ndani naweza kuiva wiki 3 mpaka baadhi ya maeneo yanakua meusi. Je, wewe unavaa kwa muda gani? Sent using Jamii Forums...
7 Reactions
79 Replies
11K Views
Kuoga ni tabia au mazoea hujengwa tangu utoto, waliokua wavivu wa kuoga utotoni hata wakiwa wakubwa hali huwa hivyo hivyo na kinyume chake husadifu ukubwani. Je, wewe unaoga mara ngapi kwa siku...
6 Reactions
77 Replies
6K Views
Jamani kuna watu wanajisahau sana mtu unakuta ndoo ya kiogea mpaka imekua na rangi isiyoeleweka. Unakuta mwingine ndio anadekia hiyo hiyo na haioshi mpaka inaweka ukungu, anaoga tu haoshi wala...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nisaidieni nywele zangu zimepoteza ublack sasa hivi niza brown nafanyaje kuzirudisha katika hali yake ya kawaida?
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Naam Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa . Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu...
10 Reactions
144 Replies
21K Views
Back
Top Bottom