Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kuvaa vazi la kulalia hasa kwa mwanamke, umuwezesha mwanaume aliyenaye chumbani kutokumchoka. Mwanamke anayevaa vazi la kulalia (night dress), humuongezea thamani katika mahusiano yake. Kuvaa...
9 Reactions
150 Replies
10K Views
Habari ndugu zangu, Naamini mko salama na bado mnaendelea kupigana na maisha ya sasa na hata kwa baadaye. Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuhusu majadiliano kwa pamoja kila mwenye wazo...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Habarini! Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi...
12 Reactions
47 Replies
10K Views
Huwa nikipishana na baadhi ya wanawake nywele zao hutoa harufu kali. Hujiuliza, kitandani mnalalaje na waume zenu? Hii haichangii mwanaume kuchepuka kweli?
2 Reactions
77 Replies
10K Views
Habari wakuu, hivi wanawake mnavutiwa na aina gani ya mavazi kwa wanaume ,tiririkeni wakuu
2 Reactions
55 Replies
10K Views
Halow, Mimi ni kijana wa miaka 21. Nataka nianze kupiga gym but kuna tetesi nazipata kuwa kupiga gym katika umri mdogo kuna madhara. Naombeni ushauri but napenda sana kupiga gym.
1 Reactions
9 Replies
10K Views
KWA UFUPI Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai kuwa dawa hizo zinasababisha uvimbe kwenye kizazi kutokana na kemikali za dawa hizo ambazo huingia mwilini kupitia majeraha au ngozi wakati wa...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Ni wachache mno, wengi wao ni mkumbo tu na kufuata upepo wa fasheni. Elewa hakuna kitu kwa ajili ya kila mtu, chagua chako na ukubali. Kama ilivyo kwa wanaume, sio wote watavaa pensi. Sketi na...
20 Reactions
104 Replies
10K Views
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka...
2 Reactions
106 Replies
10K Views
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa. Sio mkaka unanuka mijasho all...
24 Reactions
214 Replies
10K Views
Kumekucha....... Kazi ipo hakyanani! Shikamooni ' Watafiti ' wote duniani na wale ambao bado mpo Vyuo Vikuu. Nawasilisha.
2 Reactions
53 Replies
10K Views
Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani kama wengine. Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa ,MTU ukiwa uko huru ni lazima...
4 Reactions
68 Replies
10K Views
Orodha ni ndefu lakini si vibaya mkaongezea, ila mie naanza na hawa hapa! 1a. Ummy Mwalimu 1b. Angela Kairuki 2a. Mary Nagu 2b. Jenister Mhagama 3. Zhakia Meghji 4. Shamsa Mwangunga 5. Salome...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Wana Jf habari za muda huu, Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi. Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki. Naombeni...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Jamani hili halipo kwa ma barmaid au Dada zetu wanaotoka familia duni. Lipo kwa Dada zetu hasa wanaofanya kazi katika makampuni makubwa na wana nafasi ambazo pasi shaka zinawaingizia kipato...
7 Reactions
33 Replies
10K Views
Aiseeeee Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa Basi nikaenda nae hadi akawa sawa Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu...
2 Reactions
44 Replies
10K Views
`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani, ~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye...
11 Reactions
49 Replies
10K Views
Je umealikwa kwenye sherehe na hujui uvae nini, usijali blog hii ipo kwa ajili yako itahakikisha unapata kitu cha kuvaa na ukatokelezea sana. watu wengi sana hushindwa kwenda kwenye sherehe...
2 Reactions
22 Replies
10K Views
Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli Hayana harufu,halaf...
2 Reactions
93 Replies
10K Views
Wadau. Napenda Sana vazi la suti. Nimeweka picha hapa chini kwani nimependezwa Sana na suti alovaa huyo Mdau. Naomba jua. 1 Gharama za suti hiyo? 2. Je Ni ya kushona au ya Dukani? 3. Je rangi yake...
6 Reactions
48 Replies
10K Views
Back
Top Bottom