Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Mimi ni mwanaume rangi yangu ni black by nature kuna baadhi ya lotion hua nikipaka huanza kuharibu asili yangu. Wakuu naomba kujuzwa ni aina gani ya ingredients ambayo ikiwa katika mafuta huathiri...
0 Reactions
46 Replies
14K Views
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21
6 Reactions
45 Replies
19K Views
Wakuu, Hivi huu mtindo wa nywele kwenye ofisi unakubalika? Hasa hizi ofisi za kuajiriwa.
3 Reactions
45 Replies
10K Views
Warembo wangu mnatumia jinsi gani ya kupaka rangi ya mdomo? Zifuatazo ni mkusanyiko wa picha za tutorials za kumake up mdomo. (Warembo wa drama za Kikorea hupaka kama hivo) (Rahisi mno!)...
2 Reactions
45 Replies
23K Views
Tukubali au tukatae lakini ukweli utabaki kuwa pale pale. Wadada wote wenye nywele za bandia wana asili ya uchafu narudia asili ya uchafu. Nasema ni wachafu kwasababu nnapokwenda kuoga maji na...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Naombeni wadada tushee idea ya stlyle nzuri za kusuka msimu huu wa sikukuu. Maweaving naona kama yanachosha pia joto sana rasta nazo vilevile. Tutoke vipi? Naomba tupeane ushauri hapa
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Ndugu wana jamvi, nawasalimu nyote, Leo ni Jumpili, na maeneo nilipo ni njia inayotumika sana kupita watu wakienda kusali, Jana walipita wasabato nawacheki! Na leo walokole, maana makanisa yao...
3 Reactions
45 Replies
13K Views
Eti binti kwasababu amempa Yesu maisha (ameokoka) basi ndo haelewekiiiiii,[emoji134].. Uso alishaacha kupaka hata kapoda tu! Wanja ndo kabisa hagusi eti una mapepo, tehe;[emoji16] Ukimkuta mdomo...
13 Reactions
45 Replies
8K Views
Naomba kujua ni lotion gani nzuri ya kukinga mionzi ya jua, jua likiwa kali uso wangu kwenye mashavu nakuwa mwekundu, mi napaka mafuta ya mgando mwili mzima, sasa nimeona nahitaji lotion au mafuta...
2 Reactions
45 Replies
18K Views
Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Nimeona ni vema leo tukajuzana namna ya kufunga tai kwasababau nimekutana na wadau kibao wanakwambia hawavai tai eti kwasababu hawajui kufunga, pia hata akina dada nivema mkajua...
6 Reactions
45 Replies
21K Views
Unapenda kutumia njia ipi kati ya hizi kukata kucha zako na ni njia ipi ni SALAMA? 😆
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Tupia picha yoyote ya mavazi ya mwanaume katika muonekano wa kisasa hasa mavazi ya ofisini au katika occasions maalumu Mimi naanza na hii
2 Reactions
45 Replies
16K Views
Mmoja wa hao warembo ni huyu hapa chini anayeitwa Damaris Lewis kutoka Brooklyn New York. Ni mwanamitindo anayesifika sana. Halafu kuna huyu anayeitwa Arleni Sosa Pena...
2 Reactions
45 Replies
14K Views
Habari za mchana waungwana, Huwa najiuliza huyu aliyevumbua bra aliwaza nini? Hebu fikiria kusingekuwa na bra hivi tungeishije wanawake... Yaani bila bra wengine tusingetoka ndani... Kudos kwa...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Habarini! M/Mungu aendelee kuwajaalia afya njema! Naomba kujua kuhusu uwepo wa spray ya kusafishia masofa. Inaitwaje na gharama zake zikoje? Ahsanteni
2 Reactions
45 Replies
10K Views
Fanya mambo yafuatayo ili hali hiyo isitokee tena. √ kata nywele sehem za siri, kisha chukua maji ya ukoko wa ugali unawie sehem hizo zinazonuka( hakikisha unafanya hivi ukiwa umeoga) fanya Mara...
3 Reactions
45 Replies
10K Views
Asante Rayvanny kwa kunifumbua macho. Ila yaliyomo yamo kweli shogaangu Donatila ? Mbona haijajichora?
4 Reactions
44 Replies
8K Views
Habari za midaa hii? Nina swali kidogo kwenu dada zangu, Je nina mwanaume gani alikwambia anapenda/ama anapendezwa na nitakavyoviorodhesha? Kutoga masikio zaidi ya tundu moja, Kutoga pua, Kutoga...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Binafsi sijawahi kuacha nywele zikuwe. Maana ni zile nywele flan hivi wenyewe wanaita kipilipili. Aisee ukiziacha wiki mbili zinakuwa kama unga wa sumaku[emoji1]. Halafu ukizingatia sijawahi...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Back
Top Bottom