Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habarini Wana Jf Mke wangu anasumbuliwa na chunusi za uso zisizoisha ametumia lotion nyingi bila mafanikio naomba mnishauri atumie nini?
4 Reactions
79 Replies
26K Views
Muongozo mzima wa kujaza mwili kwa muda mfupi kwa wale ambao wembamba sanaa mpaka wanaona kero wanahitaji kunenepa mwili kidogo (si kunenepa kwa kujaza mafuta na nyama uzembe) bali kuwa na mwili...
31 Reactions
117 Replies
32K Views
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo. Jinsia yangu ni mme Ahsanteni
9 Reactions
225 Replies
60K Views
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee. Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza. Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili. Sitaki kuamini nimefikia...
12 Reactions
103 Replies
12K Views
nasikiaga siku hizi gest huwa zinajaaa sana na mambukizi ya magonjwa ya zina huongezeka kwa kasi sana je hi siku ni kwaajili ya nini haswa je ni sex au kuonesha upendo kwa kutoa zawadi kwa ndugu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Mimi napenda kuvaa Socks, lakini tatizo kubwa ni kupata socks zinazofanana. Ikifika asubuhi mimi navaa Socks iliyokaribu muhimu iwe safi. Sababu hamna kazi ngumu kama kutafuta...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Nani anasemasema kuhusu wanaume wa Dar, basi sahau hiyo kitu kuanzia leo anza kusema wanawake wa Dar. Yaani hata kidume uwe na ugwadu wa miaka 10 nyie wanawake wa Dar hivi vitu havivumiliki. Wigi...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Pamekua na wimbi kubwa la vijana haswa tulio katika muda wa kuchagua yupi wa kufunga nae pingu za maisha, kuhofia wanawake wanao weka style fulani fulani kwamba hawajatulia au wakorofi nk...
2 Reactions
68 Replies
9K Views
Tangu kim karadashian alivyoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kiuno chembamba sana sababu ya kuvaa waist training belt, basi ndio imkeua fasheni kubwa duniani kote kwa ujumla. watu maarufu...
8 Reactions
63 Replies
17K Views
Nywele zangu ni natural na huwa Napenda kuosha saluni na kuzibodrai huko huko. Kwa sasa najaribu kuchana aina hii ya style lakini inagoma sijui hawa walitumia nini kuziweka kama zilivyoonyeshwa...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Fallyjan22 https://t.co/JuD4g8Pc3J https://t.co/2ptRbW2Q6f 1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo 2.Simple za kike zinapatikana 3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata uhuru wa kutoka out...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Afrika tumepoteza utamaduni wetu. Rais ni alama ya nchi, madam Rais angevaa vazi la asili la Ethiopia angeweza kuitangaza nchi yake zaidi. Nikiwa shule ya msingi , Waziri Mkuu wa India, Bi Indira...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari! Kila kukicha kuna jambo jipya mengine ya kustaajabisha na mengine yakuuzunisha katika jamii. Wimbi kuwa la vijana wetu wa kiume wamekuwa wakijisahau kupita kiasi sababu jamii kwa sasa...
11 Reactions
35 Replies
8K Views
Napenda kua modo hatua gani nipitia ili niweze kufika kwenye ndoto yangu au kama kunamtu anaweza kunichukua kuweza kuvaa na kupiga picha kupost mitindo yake Niko tayari mvuta ninao mwili wakuvaa nao
0 Reactions
8 Replies
1K Views
First and Foremost, every woman who is alive today has her unique quality of making herself look absolutely stunning. And the fact of the matter is that, it doesn't not matter how much a budget a...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Kumekuwepo na ongezeko la Idadi kubwa ya wanawake wanaotoboa pua zao na kuziwekea vipini. Nani aliwadanganya wanapendeza kuvaa hereni puani?
8 Reactions
105 Replies
16K Views
Kapita mdada huyo amejikiroga koroga na mikorogo amebabuka kama kababu aisee nimerudi nyumbani nimeshindwa kula hata nyama. Hivi nani kawaambia mkijibabua ndo tutawapenda kwanini hamthamini rangi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana jf salaam, Miaka kadhaa iliyopita wavaaji wa jeans walionekana ni vijana wa kihuni ,lakini miaka ya karibuni vali hili limezijolea wavaaji wapya wenye heshima zao, licha ya kuwa kwa Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello wanajf Leo nilikuwa kijiji msanga kwenye shughuli aisee nikapata kushangaa dukani nakuta pempas wanauza moja moja nikamuuliza muuzaji je zinatoka akasema mnoo watu awawezi kwa wingi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom