Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Mko poa walimbwende, Ngoja niwape darasa kidogo, kimsingi uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake pia ni fasheni ya mjini nazungumzia gauni fupi,kimini au kikaptula(kichupi) ila nazungumzia zaidi vimini...
17 Reactions
274 Replies
101K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada, Kwa wale wajuzi na wazoefu wa masuala ya mavazi. Nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? Kwa mfano shati jekundu lina match na suruali gani? Mwenye...
1 Reactions
273 Replies
96K Views
Habari zenu ndugu. Wataalam wanasema mwanaume angalau uwe na hata jozi moja ya suti kenye kabati lako la nguo. Ni ukweli usiopingika kua suti humfanya mtu alieivaa kuonekana wa tofauti ila watu...
4 Reactions
135 Replies
92K Views
  • Redirect
Haya ninayoyaandika nimefanya mimi na nikaona matokeo yake ndani ya mwezi tu matumizi ya hinna ya unga na mayai. Kila baada ya siku nne uwe na utaratibu wa kupakaa mchanganyiko wa hina na mayai...
14 Reactions
Replies
Views
Wakuu mimi binafsi natumia colget Advanced whitening kina ujazo wa 75mil si nyingi ila bei yake ni Tsh. 4,500 hii nzuri sana watoto wa Arusha utawakamata sana si unajua yale meno yao. Je wewe...
9 Reactions
157 Replies
89K Views
WANAWAKE wengi watakiri kuwa nywele za sehemu za siri ni kero hasa katika kudumisha usafi au kuonekana nadhifu wakati wa mahaba. Sababu hii imewapelekea wengi kutafuta mbinu na bidhaa mbalimbali...
10 Reactions
200 Replies
87K Views
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo. Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya...
6 Reactions
159 Replies
83K Views
Naomba kufahamu viwango vya bei ya suti kwa huyu jamaa Sheria Ngowi, ni bei gani?
3 Reactions
246 Replies
76K Views
Heshima kwenu wadau. Katika uzi wangu uliopita nilielezea jinsi unavyoweza kutengeneza mwili bila kuingia gym. Mazoezi yale yalilenga mwili wa juu, yaani kifua, mikono na mabega. Jinsi ya...
29 Reactions
100 Replies
76K Views
Je, wewe unapendelea saa Brand ya aina gani ya mkononi? Mimi napenda Rolex, wewe je? Karibu
9 Reactions
287 Replies
75K Views
Urembo huu ni moja kati ya mitindo yenye kupendeza na kuvutia. Ni mtindo maarufu sana kwenye maeneo ya pwani hususani ni Tanga, Unguja, Pemba Dar es salaam na Mombasa, na hata kwenye maeneo...
8 Reactions
102 Replies
74K Views
Habari, Leo katika urembo tunakuletea namna ya kufanya scrub kwa kutumia chumvi na maji ya baridi na kuonekana wa kisasa zaidi. Utumiaji huu ni wa salama zaidi na watumiaji wamethibitisha swala...
4 Reactions
40 Replies
72K Views
Habari wadau.. Kiukweli mimi ni mkristo.. Ila napenda sana wadada wa kiislamu wanavyovaa mavazi yao na ushungii Yaani yana staha sana na yanafanya uone mumewe anaenjoy sana.. Unamkuta mdada...
80 Reactions
179 Replies
72K Views
Kwa wasichana ambao wanaona kuwa maisha hayawezi kuwa matamu bila kunenepesha makalio, mapaja na matiti yao, ni busara kufanya hivyo kwa njia za asili zisizokuwa na madhara kwa afya zao. Sehemu...
3 Reactions
86 Replies
72K Views
Jik Carotone cream Omo Carotone maji Sabuni ya magadi 7 Baking powder n.k
5 Reactions
177 Replies
72K Views
Kuna nyumba niliingia hivi karibuni dah ilikuwa ina nukia harufu nzuri ajabu Nimejikuta niko curious na nini hasa wanatumia hadi nyumba inanukia vile Nilishindwa kuuliza sababu kilichonipeleka...
22 Reactions
156 Replies
71K Views
Udongo (100% Natural) wa asili, Zainab's Natural Super Clay, mzuri sana kwa ajili ya kulainisha ngozi ya usoni na mwilini na kufanya ngozi iwe nyororo na ya kupendeza, sasa unapatikana sehemu...
8 Reactions
413 Replies
70K Views
Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana. Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo...
13 Reactions
344 Replies
69K Views
Habari waungwana Tuambizane ni mafuta gani mazuri kwa kutumia usoni kwa normal and dry skin.
2 Reactions
170 Replies
69K Views
Back
Top Bottom