Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Wakuu , pole na hongereni na weekend ! Mimi nimeamua kudeal na kilimo cha mazao ya mbogamboga kwenye eneo langu lenye ukubwa wa ekari moja ninalolimiliki mwenyewe baada ya kulima kwa kukodi...
58 Reactions
211 Replies
41K Views
Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA) Blobfish Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote. Blobfish Ni samaki...
12 Reactions
73 Replies
41K Views
Wapendwa, Katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa: 1. Kuna vichaka...
3 Reactions
103 Replies
41K Views
  • Redirect
KWA NINI UWE MASKINI? JE, UNGEPENDA KUVUNA NYANYA NYINGI KILA WIKI NA KUJIPATA KIPATO KIKUBWA KUPITIA KILIMO CHA GREEN HOUSE? Team ya "AMKA NA BADILIKA" ya CONSNET GROUP ikishirikiana na...
21 Reactions
Replies
Views
Habari wanaJF wakulima, Hii ni mada mahususi itakayotoa elimu na maarifa kuhusu kilimo cha mazao ya mbogamboga na matunda kwa ujumla. Watu wengi wanatamani sana kulima ila wanakosa maarifa...
29 Reactions
406 Replies
41K Views
Watu wengi hujikuta wakiwa wanahangaika wataanzaje biashara bila kuwa na kiasi kikubwa cha pesa. Wakati huohuo, wengine wana pesa lakini hawana ujuzi wa msingi wa kuweza kupata zaidi ya kiasi...
19 Reactions
51 Replies
41K Views
Mimi mfungaji wa kuku wa kienyeji Nitatizo ktk kulea vifaranga Naomba msaada njia gan bora Ya kulea vifaranga Maana nina kuku wangu watotolesha vifaranga 11 mpaka 13 Ila kwenye kulea wanabaki...
1 Reactions
40 Replies
41K Views
Kwanza ieleweke kwamba kuku chotara ni kwa ajili ya kupunguza umasikini na si kwa ajili ya Biashara. Ukisoma hata andiko la ku introduce Kuroiler kule Uganda ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na...
28 Reactions
102 Replies
41K Views
Natamani kumshauri mwanangu akasomee utaalamu wa kufuga nyuki chuo kikuu. Ninachojiuliza ni kuwa je, ni vyepesi kiasi gani au ni ngumu kiasi gani mtu kujiajiri kwenye ufugaji nyuki ukiwa na...
1 Reactions
167 Replies
40K Views
Habari wanajamvi, mimi ni muajiriwa katika shirika moja lisilo la kiserikali na kazi ninayojishughulisha nayo nje ya ajira yangu ni kilimo. Pia nina malengo ya kufuga kuku wa aina zote yaani...
13 Reactions
172 Replies
40K Views
Tuamke tukaanze Kilimo wakuu hali ni mbaya siyo lazima wote mkaajiriwa. Mimi Roho huwa inaniuma Mtu anavyokuja na Kuandika thread nataka Sehemu ya Kujitolea bila Malipo hebu Imagine Sehemu hiyo...
43 Reactions
460 Replies
40K Views
Enyi matabibu wa JF. nisaidieni wajameni. natafuta dawa ya mende wananisumbua sana. dawa za kihindi za kupuliza nimejaribu aina aina lakini nimenawa, maana nikiwapuliza wanalala tu badala ya...
0 Reactions
38 Replies
39K Views
Baada ya kujua manufaa ya Chia seesds nimeasmua kufanya majaribio ya namna ya kuzilima. Nimeanza na eka moja. Nimeshindwa kutafsiri maelezo haya kwa kiswahili, lakini kwa ufupi hii ni lishe...
5 Reactions
45 Replies
39K Views
Wakuu, Binafsi huwa na Bet sana na bahati nzuri nimemuotea muhindi kama Milioni 40 Na sasa nataka kubet kwenye kilimo Mwaka huu naingia shambani kweli kweli sio utani, naingia FRONT na sio simu...
53 Reactions
291 Replies
39K Views
Wanajanvi Salaam, Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia. Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
48 Reactions
359 Replies
39K Views
Wakuu, kichwa habari chahusika. Wenye uzoefu na Kilimo cha miti ya mbao tunaomba kujuzwa ni miti gani bora yenye kutoa mbao nyingi. Inakua kwa muda gani. Baadhi ya miti michache nilowahi kusikia...
1 Reactions
74 Replies
39K Views
Habari wafugaji wenzangu? Naombeni msaada, kwa anaejua dawa ya utitiri na viroboto kwenye kuku wa kienyeji. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
14 Replies
38K Views
Habari za muda huu naomba msaada ni tiba gani inafaa kwa kuku wanaofunga macho na kutoa uchafu km maji ya sabuni ya kipande ilio lowekwa. (Ulenda ulenda). Na huu ugonjwa unatokana na nini pia...
3 Reactions
14 Replies
38K Views
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI Karibuni; Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. Kutengeneza na kuuza tofali Ufundi, Website...
18 Reactions
80 Replies
38K Views
Back
Top Bottom