Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Wale wafugaji wa kware na mayai yake bado mpo? Mmekaa kimya siku hizi hatusikii mkileta mada za kuhubiri manufaa ya mayai ya kware. Au ndio tayari motivation spika wameshawapiga na kitu kizito...
5 Reactions
11 Replies
682 Views
Wakuu Juzi kati hapa narudi kutoka kibaruani nikaamua nichukue matunda kidogo, Nilistaajabu sana bei ya tikiti moja ni Tsh 10,000/-, hivyo kutokana na ukata nikachukua ya elfu 2 tuu ila vilitoka...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Redirect
Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE" Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu wana JF nimeleta huu uzi kuwa wilaya yetu ya Hanang ina takribani eka 63000 ambazo ni mali ya serikali kuu. Haya mashamba yapo kwa wawekezaji mbalimbali ambavyo inasemekana...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa kweli bei ya sukari hapa TZ sio fair kweli mtu tununue kg kwa zaidi ya dola moja ya kimarekani na ukizingatia nchi yetu ilivyo na utajiri wa ardhi kubwa na mvua maeneo yote Anyway dodoso...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu Habari za majukumu. Katika pita pita zangu nimegundua kuna wawekeezaji wengi sana wakubwa (Wazawa na wageni) katika Sekta ya Mifugo (kuku, ng’ombe mbuzi n.k) lakini hatuwafahamu Basi...
8 Reactions
66 Replies
11K Views
  • Redirect
Mimi Ni mvuvi Naomba kuuliza soko/duka la kuuzia makome linapatikana wapi?? Kwa Dar es salaam au sehemu za karibu na Dar #seashell #makome
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanajamvi. Natarajia kufungua company itayojihusisha na events kama wedding, matamasha N.k... Naomba kujua gharama na upatikanaji wa Tents, hasa zile za kufanyia open events. Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello brothers and sisters, Naomba nijuzwa ni wapi naweza pata mbegu za maboga/tetele kwa Dar, au unga wake. Na bei kwa kilo ni kiasi gani kwa anayefahamu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa hapa dar ni yad gan wanauza gari nzuri in cheap price plz
0 Reactions
10 Replies
7K Views
kwa mwenye kujua, naomba aniwezeshe kujua wauzaji wa Jumla wa vichanganyio vya chakula cha kuku. Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, nataka kununua vichanganyio kama vile Mashudu, Mifupa, chokaa kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukijaribu kutembea watu wengi utakuta wana mabanda ambayo yanaonekana yalisha wahi kutumiwa kwa ajili ya kulaza kuku. Wengi unakuta wamebadili matumizi au wameyaacha yako tu yamekaa na hadinsasa...
27 Reactions
45 Replies
12K Views
Habari wakuu? Naomba kwa mwenye contact za watu wanao dili na mifugo pale uwanja wa ndege wa Nyerere anaipatie nina shida nao sana, nataka mwongozo fulani wa mambo ya mifugo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pata bata bukini wakubwa kwadogo sasa wanapatikana bata ambao niwasafi nabata mzinga pia wanapatikana karibu 0757662401
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Kwa wakazi wa Dar naomba kujuzwa nitapata wapi water sprinklers kwa ajili ya kumwagilia shamba la 10 acres, nazingatia ubora zaidi. Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka, napenda kujua ni water pump nchi ngapi inayoweza kupeleka maji mitaa 400 au zaidi kwenye eneo lenye mwinuko wa wastani?. Sent from my...
2 Reactions
1 Replies
267 Views
Nina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi? vigezo ninavyovitaka 1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200 2...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za mihangaiko wananzengo..ninahitaji Water pump kama kuna mtu anauza tafadhari used lkn iwe katika ubora wa kutumika. **Iwe inatumia Petrol ** Inch 3 Nina 200,000/= taslim kwa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom