BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU KILIMO HIKI:
Mwenye kufahamu ufanisi wa hiki kilimo atujuze mambo yafuatayo:
1) Mbegu bora zinapatikana wapi?
2) Zinachukua muda gani kukomaa?
3)...
Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic...
Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana...
Nataka safirisha viazi kutoka Mbeya to Tanga vipi kwa wanaoifahamu inalipa na gunia moja kwa Tanga huwa ni shilingi ngapi?
==========
Viazi mviringo (Solanum tuberosum) hupendelea maeneo yenye...
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli
~*Tajirika na Tikiti*~
Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli.....
*TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI*
Kwa wastani heka moja ya tikiti...
Habari njema kwa wakulima wenye ndoto za kuingia kwenye kilimo cha korosho.
Mkurugenzi wa manispaa ya Lindi anawaalika watanzania wote wenye nia ya kulima korosho kuja katika halmashauri yake na...
Kama kuna mtu mwenye ujuzi zaidi wa kilimo cha haya maharage anigaie ujuzi jamani ndo kwanza niko kwenye maandalizi yashamba nimekodisha kama heka tano na sasa hivi ndo linapigwa matuta nategemea...
Hivi tunalima products zipi hasa? Make Hoteli za kitalii nyingi zinalishwa na Wazungu, kule Njombe kuna Wazungu kule wanalima kila aina ya Mboga ambazo husapply Arusha, Dar na Zanzibar.
Arusha...
Msaada tafadhali wajemeni. Nina shamba mahala ambapo nataka kupanda miembe. Ushauri? Wapi nitapata miche ya miembe?
Nipo Dar.
======
Zao la embe hustawi vizuri katika maeneo ya tambarare na...
Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000...
KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO
Jina la kitalaamu la PILI PILI HOHO ni Capsicum annum. Asili ya zao hili ni bara la Amerika ya Kusini. Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga...
Kabla ya kwenda kwenye somo letu juu ya ufugaji bora kwa KWALE ningependa kuwapatia bei ya bidhaa zetu ili uwe na idea kabisa.
Mayai:
1. Mayai ya Kwale Trey Moja ya Mayai 30 ni shilingi 20,000...
Kenbro ni 'Dual Purpose Chicks' ambao ni kienyeji walioboreshwa (improved) na waliendelezwa na kampuni ya kifaransa na kuzalishwa Kenya, wana rangi nyekundu na wana maumbo makubwa sana na hasa...
Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi.
Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika...
Habari Wadau wenzangu!
Nina siku 15 (Wki 2 nasiku 1) tokea nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nilianza na Majike 15 na jogoo 1, nashukuru leo tarehe 21/09/2014 nimekamilisha trei moja la...
Jamani mie nina plan ya kufuga kitimoto kwa wingi. Nimesha fuatilia kwa karibu gharama infmashen nyingi ila kabla sijaanza ufugaji wenyewe naomba nijue kuhusu soko.
Nia yangu ni kufuga na kuuza...
Habari zenu wafugaji,
mimi ni mfugaji tangu siku nyingi zilizopita, nimejikita sana kwenye kuku wa kienyeji.
hivi karibuni nilinunua mayai ya kanga nikayatotolesha pamoja na mayai ya kuku, sasa...
Habari wana JF.
Naomba mwenye uzoefu au utaalamu wa zao la korosho anisaidie kujua mahitaji ya kuanzisha kilimo hiki. Nataka nitafute shamba(virgin land) kwa kilimo hiki, napenda nijue maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.