Ndugu wakulima na wafugaji wa kibiashara natumaini hatujambo. Leo nawaletea vitabu vilivyopo kwenye maktaba yetu ya kidigitali kuona vitabu mbalimbali vya Ufugaji vilivyoandikwa ili kimsaidia...
Wakuu Habari?
Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.
Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina...
Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima.
Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu...
katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu...
Habari zenu wakuu.
Natak nifanya kilimo Biashara lakini nahitaji eneo kubwa Sana. Je, mnanishauri nianzie wapi kwa wazoefu au wenye uelewa.
Nahitaji ekari Zaidi ya 50.
Habarini za asubuhi wakuu.
Ni free kabisa,leo tutumie fursa kwa wale wenye challenge ya miti yao ya matunda,viungo au mingine mingine ya muda mrefu muweke matatizo yenu hapa na nitayajibu,lengo la...
Kama habari inavyoeleza hapo juu,
Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa...
Naomba ushauri/maelekezo ya namna ya kutumia mbolea inayotokana na kinyesi cha popo kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga kama nyanya, mshumaa, pili pili aina zote, bilinganya nk.
Kauli Mbiu- “Changamkia Fursa, Ongeza Kasi ya Maendeleo ya Tasnia ya Chai Tanzania”
Wilaya ya Ludewa kama wazalishaji wa Zao la Chai- tumeshiriki kikamilifu mkutano huu jijini Dodoma
Wilaya ya...
Habari wana jamvi. Samahani nahitaji msaada, miti yangu ya parachichi inapukutisha maua. Pamoja na milimao. Je nitumie mbolea ipi kuzuia hiyo hali. Maana samadi huwa naweka kabla ya masika kuanza...
Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1...
Na Amon Nguma.
Dunia kwa nyakati zote imekuwa ikikubwa na changamoto mbalimbali za asili na zitokanazo na shughuli za kibinadamu lakini Mtu au Taifa lililoweza,linaloweza na litakaloweza kuona...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias na Wataalam wa Idara ya Kilimo Wilaya ya Ludewa- wametembelea Kiwanda cha...
Nimeona jinsi wakulima wakizungumzia mwenendo mbaya wa mazao yao Shambani mfano wa kulima wa Kanda ya Kati wengi walichelewa kumpanda hivyo jua la mwezi wa tatu limezingua kufanya mimea isinawiri...
Habari wana Jf, mimi naishi Morogoro wilaya ya Kilosa nimepata wazo la kufanya ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa na kisasa
Lengo langu niwe na Ng'ombe wawili majike wa maziwa then niwe na ng'ombe...
MBUNGE NDAISABA RUHORO AILILIA SERIKALI BEI YA MAHINDI
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoani Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiomba serikali kupitia wizara ya kilimo kunusuru zao la Mahindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.