Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Wakuu habari zenu, Kwa muda nimekuwa na hamu ya kuanzisha biashara ya Chakula cha mifugo, kwa ajili ya wafugaji. Lakini mbali na chakula nitauza vifaa vya ufugaji na nitakuwa wakala wa vifaranga...
0 Reactions
28 Replies
23K Views
Kwa maitaji yako ya vifaranga na mayai ya kware pamoja na kuku wa kienyeji tafadhali tuwasiliane, nipo Kirumba Wilaya ya Ilemela Mwanza. No. 0753460642
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndugu zangu wanaJF Nina shamba langu nimejiandaa kwa kilimo biashara nimeishakusanya vifaa vyote vya kilimo Shamba langu lina ukubwa wa ekari 4 nimeishapata drip irrigation za kutosha na vitu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Naomba kujuzwa kila jitu kuhusu ukulima wa carrot
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zanguni wana JF Kwa yeyote mwenye biashara ya mbao na anaiuza, mimi nanunua biashara hiyo na kuiendeleza, naomba nieleweke kwa wana JF kuwa sihitajimbao bali nahitaji biashara hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anae jua hesabu ya tax Dar es salaam kwa siku au kwa week anijuze tafadhali na cost zinazohitajika
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je hizi biashara za mitangao kama za kujiunga kwa kiasi flani na kuuza bidhaa zao ni nzuri na nipate mfano wa watu wanaofanya nitashukuru Asanteh
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta soko la mafuta ya alizeti
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta waya wa umeme wa Accer laptop kama unayo tafadhali nitaarifu. shukrani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu na wadau wa safu hii Nahitaji kujua na kujifunza kushona viatu vya kitamaduni yaani vinavyotumia material ya malighafi zetu kama vile vitenge, nguo za kimasai nataka kujifunza namna...
2 Reactions
8 Replies
14K Views
I'm in dar for holiday visiting family and ave got tied of sitting g home doing nothing, so if you deal with poultry, rabbit and or vegetable farming and you are within dar , well I may be of...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Wana JF, Kwa mara nyingine naomba mnijuze soko la Komamanga na Njugu. Mimi ni mkulima kwa sassa nina njugu za kutosha lakini pia natarajia kuwa na kilimo kikubwa cha Komamanga mwakani...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu poleni na majukumu ya kujenga taifa letu,nina mtaji wa million 5 hapa nisaidie nifanyie nini wakuu,nasubiri kutoka kwenu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Nataka kuanza biashara ya m2mba.nimahal gan kwa dar naweza pata nguo nzur za mchanganyiko(watoto ke$me,wanawak e na wanaume.)
0 Reactions
Replies
Views
Mimi ni kija wa kiume, nipo Dareslam Msasani nimepewa mtaji wa milioni 5 ni familia niizungushe kwa masharti niwe natoa laki moja kila mwezi kwa ajili ya kuwasaidia wazee wawili ilikuwasaidia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumezuka Biashara ya mayai ya kware hodi hodi mpaka maofisini Biashara hi ni sawa na DECI, ama Dollar jet kwa kifupi ni PYRAMID ni utapeli wa hali ya juu. Wajasiria mali wamekuwa wakibuni njia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Wakuu, nataka kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe na kuku, vp ufugaji wa nguruwe unalipa kweli? Na je kati ya kuku wa nyama na kuku wa mayai ni mradi upi unalipa zaidi? Na je kati ya ufugaji wa kuku...
0 Reactions
Replies
Views
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji sasaivi wamefika mia na hamsini tatizo wanataga sehemu moja wnalalia sehemoja wa tatu kila siku wanachanganya mayai matokeo yake wanayaharibu tu msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana Jamii, Ninamshukuru sana Mungu kwa kunijaalia kuiona tena siku mpya. Watu wengi wanapopatwa na matatizo ya kifedha, jambo la kwanza hufikiria ni kwasababu wanapata mishahara midogo...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom