Naona wajasiriamali wengi tunajitahidi kufuga na kulimalakini taarifa hasa za masoko..wapi ambapo mjasiriamali apeleke mzigo wake kwa wingi haziko clear....mfano mtu kafuga kuku wake wa nyama 4000...
Looking for partiners in Opening a small industry - Looking for partiners in Opening a small industry
Looking for partiners in Opening a small industry
Wana JF hebu mnisaidie hapa, naona mara nyingi vyombo vya habari vinawataja wafanyabiashara wote kuwa ni wajasiri amali hata wale machinga wanaopanga bidhaa zao barabarani.
Hivi ni kweli kuwa...
Habari za leo wadau,
Nimekuwa na Kuku wa Mayai Kwa Mwaka Sasa, wametaga kiasi chake ingawa kwa kipindi cha mwezi sasa wamesitisha kutaga, so tangu walipoamua kugoma huko nami nimewabadilishia...
Poleni na majukumu wakuu wa jamvi hili maridhawa.
Naomba mwenye utaalamu juu ya kilimo cha matango anisaidie kujibu hoja zifuatazo:
1. Mbegu kiasi gani zinatosha heka moja.
2. Spacing yake...
Msaada tafadhali,
Kutatua tatizo hilo. Chakula chenye virutubisho vyote wanapata na maji vyakutosha, pia wana sehemu nzuri za kutagia na kutotolea. Kwa ujumla huduma zote wanapata., ila tatizo...
Make a commitment to yourself to succeed. Tell your self it is okay to ‘fail'. Remember, if you are not failing you are not trying something new, therefore are unlikely to be succeeding...
ELIMU BIASHARA
UJASIRIAMALI NI UJENZI
Ujasiriamali huwa unaanzia mbali toka kwenye kuzaliwa kwa idea mpaka kuja kusimama. Siku zote ujenzi wa Msingi unaanziaga chini kwenda juu, hata...
wakuu itifak imezngatiwa.
nataka kuanza iyo biashara ila mtaji wangu ni mdogo
,,natafuta mtu mwenye mtaji mkubwa ili tukienda
kununua ng'ombe nitakuwa naongozana nae mikoani kuleta dsm...
Habarini wakuu,
Naomba nifahamishwe ni wapi kilipo chuo kizuri na kinachofundisha kiutendaji zaidi katika fani ya ushonaji hapa Tanzania. Natanguliza shukrani.
ELIMU BIASHARA
MAISHA SI YA BABAAKO
Maisha bana raha sana, haswa ukiwa unayaishi vile unataka au unatamani wewe. Japo yana changamoto zake, hatukatai ila unazikabili vipi. Maisha ni yako wewe...
Wadau, Natumaini Nyote mu wazima wa afya.
Nahitaji vifaranga aina ya kuroiler aged from 1 day to 1 month....au mwenye network anipatia mawasiliano ya mwenyenavyo me napatikana Mwanza!! 0754542300
ELIMU BIASHARA
MAGUMU YASIKUTISHE
Wengi wanaacha kutimiza malengo mara magumu yanapotokea lakini magumu ni kichocheo cha kuinoa akili yako kutenda katika viwango vya juu vya ubora lakini zaidi...
Vip kuhusu biashara ya cosmetics iko vipi? Naamanisha mtaji mzuri wa kuanzia pamoja gharama za leseni
& tin na hao TFDA.
Mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie nipo gongo la mboto naipenda sana...
Habari wadau,
Naomba kujua taratibu za mimi kuanza kukopesha pesa kwa watu kwa dhamana na rejesho kwa riba. Mpango ni kuanza local tu bila kampuni, hii kitu inawezekana na ina wateja??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.