Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
  • Sticky
Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua...
21 Reactions
80 Replies
63K Views
  • Sticky
UTANGULIZI Habari zenu wanajamvi, kwanza napenda kudeclare interest mimi ni mfugaji mchanga wa Bata, na nilifikia uamuzi wa kufuga bata baada ya maradhi kuwapiga kuku wangu na wakafa wote...
59 Reactions
199 Replies
80K Views
  • Sticky
Jana niliwasilisha mkusanyiko wa mada zinazohusu ufugaji wa kuku.. Leo naomba niweke mkusanyiko wa mada za kilimo.. nimeamua kufanya hivi ili kusaidia wale ambao ni wanachama wapya na wanachama...
9 Reactions
152 Replies
125K Views
  • Sticky
Habari Wakuu, Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua. Na pia kwa...
36 Reactions
603 Replies
181K Views
  • Sticky
Wakuu, Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi. Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo...
12 Reactions
403 Replies
198K Views
  • Sticky
Wakuu kunasiku nilipost humu kuhusu Hydroponic techinology, Ila kama ilivyo kawaida yetu thread kama hizi huwa watu wanapotezea, Ila ukweli ni kwamba hii tekinolojia ni nzuri sana na inaweza kuwa...
14 Reactions
487 Replies
210K Views
  • Sticky
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia...
20 Reactions
379 Replies
221K Views
  • Sticky
Habari zenu wanajamvini, Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga. Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana...
2 Reactions
755 Replies
320K Views
  • Sticky
KILIMO BORA CHA UFUTA Ufuta (sesamum indicum) ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya...
20 Reactions
698 Replies
323K Views
  • Sticky
JF Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions...
121 Reactions
862 Replies
356K Views
  • Sticky
Jamani habarini za wikiendi, Naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake...
99 Reactions
1K Replies
499K Views
  • Sticky
Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato...
34 Reactions
1K Replies
539K Views
  • Sticky
Wakuu salamu, Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya...
29 Reactions
2K Replies
638K Views
  • Sticky
Hey JF Members. Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda...
30 Reactions
2K Replies
736K Views
  • Sticky
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc. By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila...
65 Reactions
4K Replies
1M Views
  • Redirect
Msaada juu ya ufugaji wa kanga majumbani na aina ya banda kuzalisha vifaranga
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wapendwa napenda kufahamu nikitaka kufuga kuku wakienyeji ni nini nahitajika nifanye ama nipate ukiachilia mbali banda
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
UFUGAJI WA KUKU. Wakuu habari ya leo. Naomba kujua/kuuliza suala moja. Kuku wa kienyeji anaweza kuhatamia mayai kwa muda gani? Mfano niliwawekea mayai ya Kanga na wamelalia kwa siku 28 lakini...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA : Kuku wa kienyeji ni chanzo kikubwa cha asili cha mapato na lishe katika kaya / familia. UANZISHAJI: Wapi utafute mbegu nzuri: • Kwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
WACHIMBAJI WA VISIMA VYA MAJI Ukichimba kisima NASI √ 100% Ya Uhakika Wa Maji Ya Kudumu [Maji Safi Na Salama] √ BURE Marekebisho (matengenezo) pamoja na usimamizi wa kisima kwa miezi sita __...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mashine zetu zina ubora wa hali ya juu. Call 0747 608 608
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mimi nataka kuanza ufugaji huu naomba mfugaji mwenye uzoefu anipe dondoo zake ahsante
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenye utaalamu na mzoefu wa kilimo cha Soya beans naomba ushauri na maelekezo ya kilimo hicho.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi!!mahitaji!!eneo!!!navinginevyo!!!kabla sija anzishaa!! Naombeni mawazo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU" (*BIASHARA ZA UAKIKA KWA MDAU UNAYEITAJI FIKA SHAMBANI TUTEMBELEE KABLA YA MANUNUZI PIA WAWEZA TUMA MWAKILISHI KWA WALIO MBALI NASI *) (1) Tunao...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
+255 654 069 041/+255 744 722 526
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Msaada tafadhali, maandiko mengi ni ya maelezo ambayo hayana figures. Naomba nisaidiwe kwamba kwa ekar moja inaweza fika shilingi ngapi na kwa ekar 10 shilingi ngapi, shamba langu sikodi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
NAOMBA KUJUA VIPIMO VYA BANDA LA KUKU 200 NI NGAPI KWA NGAPI ? ITAPENDEZA SANA KAMA NITAPATA NA PICHA
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenye experience jaman kuhusu kilimo cha pilipili anisaidie
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Bei 15000
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za muda huu. Natafuta shamba la kukodi Morogoro, Liwe sehem ambapo Kilimo cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mimi ni mkulima wa mapapai ya kisasa mbegu ya Malkia na Carina natafuta masoko ya jumla nipo kibaha Mkoa wa Pwani kwa mawasiliano 0686301689.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Sasa jiunge kwenye ajira bora kwako ya KUTOTOLESHEA mayai ya KUKU , KANGA BATA, NJIWA N.K kwa kumiliki incubator au Kitotoreshi kwa ghara nafuu kutoka Kampuni yako pendwa MWALIMU GROUP LTD Na...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom