Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua...
Jana niliwasilisha mkusanyiko wa mada zinazohusu ufugaji wa kuku..
Leo naomba niweke mkusanyiko wa mada za kilimo.. nimeamua kufanya hivi ili kusaidia wale ambao ni wanachama wapya na wanachama...
UTANGULIZI
Habari zenu wanajamvi, kwanza napenda kudeclare interest mimi ni mfugaji mchanga wa Bata, na nilifikia uamuzi wa kufuga bata baada ya maradhi kuwapiga kuku wangu na wakafa wote...
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia...
Wakuu,
Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi.
Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo...
Wakuu kunasiku nilipost humu kuhusu Hydroponic techinology, Ila kama ilivyo kawaida yetu thread kama hizi huwa watu wanapotezea, Ila ukweli ni kwamba hii tekinolojia ni nzuri sana na inaweza kuwa...
Habari Wakuu,
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua.
Na pia kwa...
KILIMO BORA CHA UFUTA
Ufuta (sesamum indicum) ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya...
Habari zenu wanajamvini,
Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.
Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana...
JF
Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions...
Jamani habarini za wikiendi,
Naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake...
Wana JF
Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato...
Wakuu salamu,
Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya...
Hey JF Members.
Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda...
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.
By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila...
Kwanza wana jf oyee kwan hakuna mtandao wowote wa kijamii dunian nauheshim kama JF,
Nije kwenye point mimi natengeneza vitu tajwa hapo juu.Hata sasa nipo kanda ya ziwa nasambaza batik za...
napenda kujua kutoka KWA serikali na pia wenzangu humu ndani, nakubali kuwa ilianzishwa programme ya kufundisha vijana Ujasiriamali na kutakiwa kuunda vikundi ili tukopesheke. swali langu NI je...
Vip kuhusu biashara ya cosmetics iko vipi? Naamanisha mtaji mzuri wa kuanzia pamoja gharama za leseni
& tin na hao TFDA.
Mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie nipo gongo la mboto naipenda sana...
UVCCM YATAKA UDAHILI WA VIJANA BBT UONGEZEKE
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Mohammed Ali Mohammed (Kawaida) ametaka juhudi ziongezwe kuhakikisha idadi ya wanaodahiliwa katika...
Naomba kujuzwa mbinu za kufanikisha biashara ndogo ya upakaji rangi kwenye nyumba za kuishi, shule, na majengo mbalimbali, kwa mfano mahitaji gani niwe nayo ya kuanzia? Mafundi wangapi? Wa level...
ILI UWE MKULIMA BORA NI MUHIMU KUFUATA TARATIBU ZIFUATAZO.
1.KUJUA NI AINA GANI YA KILIMO UNACHOTAKA KUFANYA.
KUNA AINA NYINGI ZA KILIMO AMBAZO ZINAFANYWA.KIPO KILIMO CHA MSIMU NA KILIMO AMBACHO...
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
Mimi natengeneza batik nzuri za kuvutia kama vikoi vitambaa vya batik kwa ajili ya kushona vyenye maua na picha mbali mbali.Napokea oda kwa matukio yenye kuhitaji sare za batik kama batik zenye...
Habari wanajamvi,
Nataka kuanzisha kilimo cha nyanya kwa njia za kisasa - green house. Naomba contact contact za wataalamu ili niwasiliane nao kwa ushauri wa namna ya kuanzisha kilimo hicho. Nipo...
Habari wakuu,
Nimenza kutoa elimu ya uzalishaji wa chakula cha Kuku, Mbuzi, Nguruwe na Ng'ombe kwa kutumia Hydroponic, na nilisha wahi kuielezea hapo nyuma.
Hydroponic fodder inaweza...
Please wadau poleni kwa majukumu ya kila siku.
Nimehitimu Chuo Kikuu lakini kama kawaida naumwa ule ugonjwa wa kila siku wa ajira na nimekaa nimefikiria nimeona nitajikwamua kupitia ufugaji wa...
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS Part 13
"Losing money is the least of my troubles. A loss never bothers me after I take it. I forget it overnight." - Jesse Livermore
Name: Kenneth...
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu , baada ya kumaliza masomo yangu nina plan ya kujishugulisha na kilimo hususani kilimo cha matunda yaitwayo MATIKITI MAJI.
Naomba kwa yeyote mwenye uzoefu ...
As the global population swells, so does the need for food. Could a Netherlands approach to farming that doesn't rely on soil, sunshine, water and pesticides be the answer?
The small...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.