UTANGULIZI
Habari zenu wanajamvi, kwanza napenda kudeclare interest mimi ni mfugaji mchanga wa Bata, na nilifikia uamuzi wa kufuga bata baada ya maradhi kuwapiga kuku wangu na wakafa wote...
Habari Wakuu,
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua.
Na pia kwa...
Wakuu kunasiku nilipost humu kuhusu Hydroponic techinology, Ila kama ilivyo kawaida yetu thread kama hizi huwa watu wanapotezea, Ila ukweli ni kwamba hii tekinolojia ni nzuri sana na inaweza kuwa...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua...
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia...
Wakuu,
Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi.
Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo...
Habari zenu wanajamvini,
Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.
Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana...
Jamani habarini za wikiendi,
Naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake...
KILIMO BORA CHA UFUTA
Ufuta (sesamum indicum) ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya...
Jana niliwasilisha mkusanyiko wa mada zinazohusu ufugaji wa kuku..
Leo naomba niweke mkusanyiko wa mada za kilimo.. nimeamua kufanya hivi ili kusaidia wale ambao ni wanachama wapya na wanachama...
Wakuu salamu,
Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya...
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.
By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila...
JF
Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions...
Wana JF
Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato...
Hey JF Members.
Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda...
Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N
atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu...
FURSA: Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited ( NARCO LTD) ni Kampuni ya Serikali inayofanya ufugajina uuzaji wa Ng’ombe wa nyama, uchinjaji, uchakataji pamoja na uuzaji wa nyama ( Kongwa beef). Mwaka...
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza?
Wengi naona ni janda za juu na kaskazini.
Nipe location au contacts kwa anaejua please!
HERENI ZA WANYAMA
Hereni kwaaji ya wanyama wote zinapatikana kwetu kwa bei chee.
Zipo kwaajili ya;
*️⃣Mbuzi
*️⃣Ng'ombe
*️⃣ Nguruwe
*️⃣Kondoo nk.
Ziponumla reja reja
📍 Tupo DSM, popote mzigo...
Ni mwaka Jana ndiyo nilifahamu kwa mara ya kwanza juu ya uwepo wa tunda liitwalo dragon.
Dragon ni kama jina la "utani"
Jina lake halisi, kama sikosei, ni PITAYA au MSHOKISHOKI.
Uchunguzi wangu...
Habarini wanajamvi, poleni na majukumu ya kujitafutia ridhki.
Ninao bata Bukini wanaotarajia kutaga pair 2, yaani majike 2 na madume 2, na Bata mzinga 3 majike 2 na dume 1.
Bata wote hawa nawauza...
Kipindi hiki cha Mvua unaweza pata baadhi ya miche ya Kiwi, Pixie Orange na Dragon kwa matumizi ya nyumbani yaani Backyard.
Kiwi ni vein, na kiwi inahitaji uoteshe jike na Dume, kuna kiwi jiie na...
Niko mwanza napenda kupanda miti.
Tupeane Location na hii bidhaa ya miti
1.Miche ya Bure✅
2.Miche ya ofa✅
3.Miche ya hela⚠️✅
Nimeanza na mti mmoja wa maembe.
Mwenze miche anipee basi nikapande
SAMAHANI NAOMBA KUJUA BBT(building better tomorrow tanzania) ina ukweli wa kumkwamua mwana nchi wa haliyachini ? Na je inamasharti gani na vigezogani ili kusajiliwa,kupatamafunzo ya vitendo&kupata...
MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke...
(Dead in shell cases)😔⁉️
▪️Hii ni changamoto kubwa ambayo, wafugaji wanaotumia viangulizi (Incubators) hukumbana nayo siku 21 baada ya kuweka mayai kwenye Incubators.
▪️Wafugaji na watumiaji...
MBUNGE ENG. ULENGE: MAAFISA UGANI TOENI USHIRIKIANO KWA WAKULIMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Eng. Mwanaisha Ulenge amekabidhi Mbegu Bora za Kilimo kwa Wanawake wa Mkoa wa Tanga...
Habarini za muda huu naombeni mawazovyenu nimelima upupu au velvet beans naombeni msaada wa soko, black Velvet ipo ya kutosha zaidi ya tani kumi, nahitaji wanunuzi 0714671117
=========
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.