Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on...
0 Reactions
18 Replies
331 Views
Rais wa Afrika Kusini anaanza ziara ya siku mbili nchini Uganda leo, miezi baada ya nchi yake kutuma wanajeshi chini ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupambana na waasi wa M23...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Mahakama ya katiba nchini Uganda imetupilia mbali shauri lililowasilishwa Mahakamani kupinga sheria dhidi ya mapenzi kati ya Watu wa jinsia moja na kusisitiza kuwa sheria hiyo inalinda utamaduni...
1 Reactions
5 Replies
202 Views
Waganda mna bahati sana. Mtachekwa sana ila nyinyi ni afueni kuliko sisi majirani zenu. Huyo dictator anaisaidia sana nchi yenu. Tz sisi ndio watu hovyo zaidi east africa. Viongozi wetu wanauza...
4 Reactions
4 Replies
328 Views
Hii ndio Safari aliyoipita Jenerali MUHOOZI KAINERUGABA Mtoto wa Rais wa Uganda Yowery Kaguta Museven hadi kuwa Mkuu wa Majeshi wa Nchi Hiyo 2000: Aliteuliwa kuwa Luteni wa pili, Kitengo cha...
6 Reactions
22 Replies
972 Views
  • Redirect
Ndugu zangu Watanzania, Napenda tu kuwapeni taarifa wale ambao mlikuwa hamfahamu kuwa Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Amemteua Mwanae Jenerali Muhoozi kuwa Mkuu wa majeshi ya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
AFPCopyright: AFP Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amemteua mtoto wake, Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).Gazeti la Daily Monitor la Uganda limeripoti. Anachukua...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Yajayo yanafurahisha nchini Uganda. Uteuzi wa Kainerubaga Muhoozi umetagazwa leo usiku wa manane. Aliyekuwa mkuu wa majeshi ameteuliwa kuwa waziri wa nchi. Kuna tetesi nchini Uganda kuwa Rais...
10 Reactions
Replies
Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa...
4 Reactions
117 Replies
4K Views
Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa Uganda imekidhi vigezo vya kuorodheshwa kama nchi ya kipato cha kati cha chini (lower-middle income) baada ya kuboresha kwa kiasi kikubwa afya, elimu na...
1 Reactions
4 Replies
629 Views
" My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely… Mr. Queen, sir; and also what he has done for me...
2 Reactions
5 Replies
462 Views
UGANDA: Serikali imetenga Dola za Marekani Milioni 800 (zaidi ya Tsh. Trilioni 2) kwaajili ya kutangaza na kufundisha Lugha ya Kiswahili nchini humo kwa lengo la kukuza ushirikiano wa Kikanda...
1 Reactions
11 Replies
844 Views
UGANDA: Chuo Kikuu cha Makerere kimesema takriban Wanafunzi 1,000 wanaacha au kuachishwa Masomo kila mwaka kutokana na kupoteza Fedha za Ada wanazozitumia kwenye Michezo ya Kubashiri maarufu kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
In a groundbreaking display of innovation, Team Imperial Tech from Rise and Shine Secondary School in Ntinda, Uganda, has emerged as this year’s regional champions of the Sahara STEAMers Grand...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Wanawake zaidi ya 100 wamehukumiwa kifungo cha Mwezi Mmoja jela na kufanya kazi za Jamii baada ya kukiri kuwatuma Watoto wao kuomba barabarani Jijini Kampala. Pia baada ya kifungo Wanawake hao...
0 Reactions
5 Replies
679 Views
Julia Sebutinde aliye mzaliwa wa Uganda alikuwa Jaji pekee katika jopo la Wanachama 17 wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kupiga kura dhidi ya hatua zote 6 zilizopitishwa na mahakama ya ICJ...
1 Reactions
1 Replies
721 Views
Waziri wa masuala ya kigeni nchini Henry Oryem Okello amesema kwamba waganda wanaokufa njaa ni wajinga miezi kadhaa baada ya baadhi ya maeneo kukumbwa na njaa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi...
0 Reactions
2 Replies
481 Views
Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) yameuawa na wanajeshi wa Uganda na DRC, pia watoto na akina mama walioshikiliwa mateka wakombolewa. Jamaa...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda na aliyekuwa mgombea urais Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amesema kuwa leo Alhamisi polisi walikuwa wamezingira makazi yake na kumweka "chini ya...
0 Reactions
7 Replies
697 Views
Chama kikuu cha upizani cha Uganda chini ya kiongozi wao Bob wine kimeagiza wa fuasi wao kupanda migomba (Ebitooke) kwenye mashimo ya barabara nyingi mbovu jinini kampala kama njia ya kushonikiza...
2 Reactions
7 Replies
888 Views
Back
Top Bottom