Stories of Change 2022

Stories from Citizen and Professional Journalists and aiming at creating an informed citizenry

JF Prefixes:

Hapa napenda kuzungumza na kijana wa kitanzania aliyehitimu elimu ya juu na kuingia mtaani kusaka ajira.Kuna dhana moja iliyojengeka miongoni mwa vijana kwamba unapovua kofia yako kusherehekea...
38 Reactions
70 Replies
6K Views
Upvote 40
MAMANTILIE Hii ni biashara ambayo watu wamekua wakiuchukulia kawaida lakini imetoa ajira kwa watu wengi katika miji mingi na Leo hii watu wamenufaika sana hivo kwa mtu ambae unahitaji kubadili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 0
Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii. Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya...
9 Reactions
34 Replies
8K Views
Upvote 13
Ni ukweli usiopingika kuwa mfumo wetu wa elimu unapumulia mashine kwa sasa. Mazao yanayozalishwa na mfumo huu yamedoda sokoni, Hali si Hali, ni muda sahihi sasa wa kufanya mabadiliko. Mfumo wa...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Upvote 0
Huu ni uzi kwa ajili ya wale ambao wameajiriwa hasa katika sekta binafsi kwa ajili ya kuwatia moyo wa kukuza uchumi wao. Mimi ni mhitimu wa degree ya masuala ya Sayansi.Miaka 6 iliyopita, nilikua...
95 Reactions
220 Replies
17K Views
Upvote 101
UTANGULIZI Shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa makubwa yanayosumbua afya za binadamu, Shinikizo la damu laweza kuwa tatizo liliotokana na madhara ya magojwa mengine ya mifumo ya mwili au...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Upvote 16
Katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira ulimwenguni, serikali na wadau mbalimabli husisitiza dhana ya kujiajiri. Jamii inaamini kuwa kujiajiri ndiyo tiba mbadala ya janga la ukosefu...
13 Reactions
29 Replies
5K Views
Upvote 18
Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 7
Awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema mpaka sasa ya kuweza kuandika Makala haya yenye kuleta badiliko kwa jamii hususani kijana na jamii inayotuzunguka katika...
12 Reactions
38 Replies
4K Views
Upvote 18
Katika mpango wa kidunia unalenga kufikia 2030 Mwanamke asibakie nyuma katika maendeleo endelevu ya kidunia, juhudi mbalimbli ufanywa na taasisi za kidunia, vyombo mbalimbali katika Serikali...
1 Reactions
3 Replies
696 Views
Upvote 1
Nitauzungumzia UCHI kwa kuwa watu wanaoruhusiwa hapa ni kuanza miaka 18 basi hakuna tatizo. JE, NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kutoa Elimu hii, lakini kabla ya...
12 Reactions
34 Replies
9K Views
Upvote 5
Kilimo ni uzalishaji wa mazao ya chakula na yasiyo ya chakula kwenye mashamba na ufugaji wa wanyama wanaofugwa. Lakini pia kilimo kinahusisha ufugaji wa nyuki na ufugaji wa samaki. Aidha kilimo...
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Upvote 0
Utangulizi Katika Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Sura ya 29; ndoa imetafsiriwa kuwa ni ‘muungano wa hiari’ kati ya mwanamke na mwanaume unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Kumbe...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Upvote 2
Hisabati ni somo linalohusisha namba, maumbo, mafumbo, uhusiano baina yao pamoja na vipimo mbalimbali (merrium webster). Sehemu kubwa ya somo hili ni namba 0 mpaka 9 ambazo humtaka mwanafunzi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 0
Habari za leo wakuu. Siku ya leo nimeguswa sana kutambua mchango wa member mwenzetu ip_mob aliyetangulia mbele za haki. Ame play part kubwa sana katika mafanikio yangu, kwa bahati mbaya...
84 Reactions
259 Replies
16K Views
Upvote 102
Hello Mimi ni ndugu yenu innocent kirumbuyo kwa miaka miwili nimekuwa nikiweka story biashara ya viatu 1) Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha 2) Utajiri uliojificha kwenye viatu vya mtumba...
35 Reactions
100 Replies
14K Views
Upvote 54
Hali ni mbaya! Chanzo: Mwananchi, Tani 7,400 za mahindi zakosa soko (2014) Nilikuwa Kilombero, na kama masihara, gunia la mchele lilikuwa linamwagwa mbele ya uso wangu jalalani. Nisingeamini...
11 Reactions
8 Replies
1K Views
Upvote 13
Kwanza nipende kuwapongeza wanafunzi wote mliofaulu katika masomo yenu ya Advanced level yaani kidato cha sita na hivyo mnatarajia kujiunga na masomo ya Elimu ya juu (Chuo kikuu). Niliona kuna...
19 Reactions
18 Replies
2K Views
Upvote 30
UTANGULIZI Dunia imekuwa ikishuhudia mlipuko wa magonjwa toka kwa wanyama kwenda kwa binadamu na kushuhudia vifo vingi vikitokea tangu zamani sana, ugonjwa wa tauni ni moja ya magonjwa...
3 Reactions
4 Replies
695 Views
Upvote 1
Katika Kutatua Changamoto Mbalimbali za maisha kuongea na kunyamaza ni njia ambazo zimekuwa Zikitumiwa na Watu. Ingawa Watu wengi Wamekuwa na dhana potofu ya kwamba kukaa kimya kwa wakati wote ni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 1
Back
Top Bottom