Stories of Change 2022

Stories from Citizen and Professional Journalists and aiming at creating an informed citizenry

JF Prefixes:

  • Sticky
Kwa wote wanaotaka kushiriki shindano la Stories of Change Tafadhali someni kwa makini vigezo hivi. Hakikisha andiko lako limekidhi kabla ya kutaka kuchapisha. Vigezo na masharti ya kushiriki...
36 Reactions
97 Replies
11K Views
Upvote 72
  • Sticky
Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika...
60 Reactions
285 Replies
60K Views
Upvote 115
  • Sticky
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kisheria kufanya uchechemuzi wa Haki za Kidigitali...
18 Reactions
42 Replies
7K Views
Upvote 33
UTANGULIZI Tangu enzi za ukoloni Hadi baada ya nchi yetu kupata Uhuru kumekua na tatizo la nchi kushindwa kujitosheleza katika bidhaa muhimu ya sukari. Sukari ni miongoni mwa bidhaa muhimu kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
Familia ni muunganiko wa baba mama na watoto lakini inaweza kuwa familia ya mzazi mmoja au ya namna nyingine, familia nyingi za kitanzania huhusisha ndugu mchanganyiko kutokana na sababu...
1 Reactions
0 Replies
560 Views
Upvote 1
Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike...
1 Reactions
0 Replies
289 Views
Upvote 1
“Hakuna mantiki hata kidogo kuruhusu matumizi na umiliki wa pombe na tumbaku na kufanya kanabisi jinai.”-Hukumu ya kanabisi / “Cannabis Judgement,” 18 September, 2018. Mahakama ya Upeo, Afrika...
1 Reactions
3 Replies
987 Views
Upvote 1
Katika siku za hivi karibuni baada ya ongezeko kubwa la uhitaji wa zao la parachichi ndani na nje ya nchi ya Tanzania kutokana na ongezeko la matumizi ya bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao la...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 4
Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali...
2 Reactions
1 Replies
927 Views
Upvote 2
Sikuwahi kufikiria nitawahi kupata upenyo wa kuongea yaliyositirika kwa muda sana ila hatimae nimefikiwa. Nakumbuka mama aliwahi kuniambia "Mwanangu, siku zote tembea duniani ukivaa viatu vya...
5 Reactions
0 Replies
486 Views
Upvote 6
Moja ya kilio kikubwa mashambani ni mavuno, pamoja na nguvu nyingi zilizowekezwa na watanzania wengi lakini mavuno yameendelea kuwa hafifu ama kukosekana kabisa. Yote hii inasababishwa na...
1 Reactions
0 Replies
640 Views
Upvote 2
Umuhimu wa kuripoti madhara yanayohusishwa kusababishwa na matumizi ya dawa Binadamu ni kiumbe anayehitaji afya njema ambayo inajumuisha utimamu wa mwili na akili ili aweze kutimiza majukumu yake...
2 Reactions
0 Replies
363 Views
Upvote 2
Utangulizi Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza tunawezaje kukusanya kodi bila ya kutumia gharama kubwa ama bila ya mlipa kodi kulalamika ama bila ya kukwepa kulipa kodi. Baadaye nikaona njia nyepesi...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
Upvote 2
ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi...
1 Reactions
0 Replies
387 Views
Upvote 1
UMUHIMU WA KUCHANGIA DAMU. Damu ni zawadi ya thamani ambayo mtu anaweza toa. Damu inayotolewa hutumika kwa wagonjwa waliojeruhiwa na majanga mbali mbali ,wagonjwa wa saratani ambao wanahitaji...
4 Reactions
1 Replies
833 Views
Upvote 4
Uhuru wa kifedha ni jambo la kufikirika kwa watanzania wengi na takwimu pia zinaonyesha ni asilimia ndogo sana yawatanzania walio na uhuru wa kifedha basi bila ata kufika mbali ata usalama wa...
5 Reactions
1 Replies
915 Views
Upvote 5
Nikitazama sura yako, mwenendo wako, matendo na mavazi yako, nashindwa kuelewa, hivi unanitega? Huo mwendo sasa ndio kabisa unanichanganya. Ama umejua kwamba nami nategeka? Hiyo mikao yako ya...
1 Reactions
0 Replies
275 Views
Upvote 1
MAANA Saratani ya shingo ya kizazi ni ile inayoanzia sehemu ya mwisho ya nyumba ya kizazi , pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya juu ya uke. JE, NINI CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI...
4 Reactions
6 Replies
992 Views
Upvote 6
UTANGULIZI: Kumekua na mabadiliko makubwa ya Tania nchi ktk sayari yetu kwa miaka ya hivi karibuni .Miongoni mwa sababu kubwa ya mabadiliko hayo yaletayo athari mbalimbali Kama mafuriko,ukame na...
2 Reactions
1 Replies
417 Views
Upvote 2
BANGI IHALALISHWE. Kwa ulimwengu wa sasa siyo vyema kuendelea kudanganyana , baahi ya masuala hayawekwi wazi siyo kwa sababu gani? Hakuna cha maana zaidi ya danganya toto. Sheria na kanuni...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Upvote 11
Hakuna maisha bora na ukuaji sahihi kwa mtoto kama kuwa karibu na mama, baba na nduguze wakati wa ukuaji. Kumbukumbu nyingi, hali ya kujiamini, kuona mapenzi ya hali ya juu ya wazazi katika umri...
10 Reactions
8 Replies
2K Views
Upvote 5
Utangulzi Kufuatia mpango wa serikali ya Tanzania kuagiza ndege moja ya mizigo (Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba tani 52) katika kkufanya biashara na kusaidia katika usafirishaji wa bidhaa za...
1 Reactions
0 Replies
613 Views
Upvote 1
Utangulzi: Kumekuwa na ukimya mwingi juu ya lini ofisi kuu za ubalozi zitahamia Dodoma ili ofisi za Dar es Salaam zibakie kuwa ofisi ndogo. Hivyo nimekajaribu kuwaza nikafikiri kuwa kuna haja ya...
2 Reactions
0 Replies
628 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom