Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Makocha wanajua zaidi lakini sikuona kabisa mantiki ya kumchezesha Boko wala Farid mechi ya ugenini ya Taifa Stars dhidi ya Tunisia. Boko alikuwa cut-off kutoka kwa wenzake, akipewa mipira...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada juu ya hili. Mwanafunzi wangu anayetarajia kuhitimu kidato cha nne mwaka huu ameniomba nimwangalizie kwenye mtandao namna anavyoweza kuwa referee. Ameomba kujua kiwango...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Mwezi wa nane mwaka huu Yanga walituaminisha kuwa wamekata rufaa FIFA katika kiengo cha CAS kupinga kitendo cha kamati ya TFF kuamua kuwa mkataba wa miaka miwili na Morrison ni batili. Baadaye...
2 Reactions
6 Replies
506 Views
Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza. Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Hapo Kesho Kwenye Mtanange wa Tanzania Vs Cape Verde kwa tadhimini za haraka haraka Kutakuwa na msukumo mdogo sana kwa mashabiki wa Taifa Stars kuiangia kwa Mchina/Taifa. Hata kama ingekuwa bure...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
2 Reactions
1 Replies
470 Views
Leo zime tolewa tuzo za mwezi September.. kama kawaida yao kocha Bora Cedric kaze katoka Yanga.. mchezaji bora Serge Mukoko22 katoka yanga.. duh hapa najiuliza yaani biriani lote simba tunalo...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari za muda huu. Tukiwa tunasubiri kama masaa machache team yetu ya Taifa kuingia viwanjani na kuonesha kandanda safi huko Cape Verde nimejikuta kuwa na mashaka zaidi maana hapo mwanzo...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwa sisi tunaotumia simu kuwatch mpira hii game tunaipataje?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati...
14 Reactions
90 Replies
8K Views
  • Redirect
Shirikisho la kandanda nchini misri limethibitisha kuwa mshambuliaji wake Mohammed Salah maarufu kama "Mo salah" Amekutikana na ugonjwa wa Covid19 wakati akijiandaa na mechi ya kufuzu afcon Hivyo...
0 Reactions
Replies
Views
Shirikisho la kandanda nchini misri limethibitisha kuwa mshambuliaji wake Mohammed Salah maarufu kama "Mo salah" Amekutikana na ugonjwa wa Covid19 wakati akijiandaa na mechi ya kufuzu afcon Hivyo...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Manuel Neuer Ndiye golikipa Bora wa kombe la Dunia la mwaka 2014. Manuel Peter Neuer (amezaliwa tarehe 27 Machi 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ujerumani ambaye anacheza kama golikipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndio hivyo dogo kala miaka minne na nusu. === Mchezaji wa Kitanzania Simon Msuva amethibitisha kujiunga na Wydad Casablanca ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne (4) akitokea Difaa El Jadida.
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?. Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la...
7 Reactions
50 Replies
8K Views
Baada ya kuzagaa tetesi za chama kutimkia jangwani, upande wa pili napo kuna tetesi za kiungo mkabaji wa timu ya wananchi Mukoko Tonombe "ticha" kuhamia Unyamani dirisha dogo Dceember 15. Hii...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Simba SC Tanzania have reached an agreement with Zambian international Clatous Chota Chama to extend his stay in the club for two more seasons. Chama will pocket $72,000 (Tsh. 180 million) in...
6 Reactions
48 Replies
7K Views
Vyanzo vyangu vimenipa habari mbichi Senzo Masingiza yupo chini ya ulinzi katika moja kati ya vituo Dar es Salaam akihojiwa kuihujumu Simba Sc.
8 Reactions
89 Replies
7K Views
Back
Top Bottom