Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana ameibuka na kudai yupo kwenye mpango wa kuifungulia mashitaka Klabu ya Yanga kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa kile alichokieleza...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Mimi ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba binafsi toka huyu jamaa (jonas mkude aka nungunungu) awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajiliwa kiungo wa kimataifa kutoka...
5 Reactions
131 Replies
16K Views
Ligi kuu England inaendelea leo katika viwanja mbalimbali ambapo mchezo wa awali Crystal palace atakipiga dhidi ya Fulham saa tisa jioni. Leicester city ambayo inashika nafasi ya tatu kwenye...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Yanga mmechagua porojo mtavuna porojo. Simba Sc ileeeeeee ni moja kati ya vigogo wa Africa
15 Reactions
31 Replies
3K Views
Michezo miwili ya Klabu bingwa Afrika itapigwa hii leo . Mchezo wa kwanza ni wa kundi B ambao utaikutanisha CR Belouizdad dhidi ya Mamelodi Sundowns katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanza hongereni sana kwa kuleta revolution ya tv hapa bongo. Soka mmefanikiwa, bongo movies pia naona mnakomaa na ndondi pia mmeamua kutuletea. Ila dah ndugu zangu kilichotokea Dodoma kwa Dulla...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Maneno maneno Huwa yanaumba Kapombe sasa yule mkata kamba yako naye kaitwa stars sasa je ni wakati wa kuamini kwamba ile kamba yako ilikuwa inakatwa na yeye? Kama kweli una uhakika kamba yako...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Na Ally Mayai Tembele Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno. Nilisema Yanga...
35 Reactions
78 Replies
8K Views
Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema. Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana...
4 Reactions
162 Replies
9K Views
Mashaka Kapingo shabiki wa Yanga siku alipochefukwa na kipigo cha 3 bila dhidi ya Kagera ndipo akatuitie jina Utopolo. Hakika jina limewapendeza na limewakaa vyema. Jina hili litadumu karne na...
20 Reactions
38 Replies
3K Views
Kituo gan hiki, YouTube hamuonekani. Marudio ya Mechi za Kimataifa hususani klabu bingwa Afrika kupitia Simba Mnyama hamuweki. Toka jana nazungunguka YouTube kutafuta Marudio ya mpira, walau...
3 Reactions
20 Replies
24K Views
KUNA TOFAUTI KATI YA SIMBA NA TIMU ZA LIGI KUU :🇹🇿 -Jemedari anasema watu wasijichanganye wakadhani simba sc 🇦🇹 inafanana na timu nyingine za Ligi Kuu ya Tanzania bara. Anasema Simba ni tofauti...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Michezo ya kombe la shirikisho inaendelea na sasa ni klabu ya soka ya African Lyon dhidi ya Simba SC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. ====== 00' Muamuzi anapiga filimbi kuashiria...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Kikosi cha Taifa stars kitachocheza michezo miwili ya kirafiki na Kenya tarehe 15 na 18 mwezi Machi. Mchezo wa kwanza wa kirafiki hautohusisha wachezaji wa Simba kwakuwa watakuwa na mchezo wa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Baada ya kutoa kichapo cha goli 1-0 kwa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika, Simba SC hii leo inashuka tena katika dimba la Mkapa kukipiga na African Lyon. Mchezo huo wa Kombe...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Huu ndo Uchawi Mkubwa wa Simba. Duniani hamna Siri. Mpira ni mchezo wa wazi unachezwa kwenye Mwanga. Tumeona kilichotokea. Hapa Simba wamemchukua kimazingara Messi na kumpa ngozi na nywele nyeusi...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom