Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kupata sare mbili za bila kufungana dhidi ya Real Sociedad kisha na Chelsea, Manchester United inasafiri hii leo kuelekea Selhurst kukipiga dhidi ya Crystal Palace mchezo utaopigwa saa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani wataalamu wa karate nilikuwa naomba ufafanuzi wa style gani ya karate au aina ipi ya karate ni nzuri zaidi kwa self defence. shotokan au ipi ni nzuri zaidi. Asanteni
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Hivi karibuni kumekuwapo na ongezeko kubwa la wataalamu wa uchambuzi wa mpira wa miguu, vituo vyote vya luninga na radio stations zina wachambuzi ukiwasikiliza wote ni wanaonyesha weledi wa hali...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Klabu ya Kagera Sugar ya mkoani kagera wanalalamika kupangiwa mechi yao dhidi ya Simba sc confederation cup kuchezwa Dsm wakati droo ya awali ilionyesha mechi hio ilipaswa kuchezwa kaitaba mkoani...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga.
10 Reactions
20 Replies
3K Views
Hebu tutumie uzi huu kumtakia heri na kumjulia hali Aishi Manula, Mungu amponye haraka na kumpa afya njema! Manula nakutakia afya njema na Mungu akuponye na kukulinda! Tabasamu- Mungu yuko...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Nchimbi ametimiza mwaka hajui goli ni nini. Sarpong aliyebebwa kama mfalme na baadhi yao ana goli nne karibu msimu unaisha. Pamoja na papaa kutopewa nafasi lakini alikuwa na jumla ya magoli zaidi...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Azam ni wadhamini wakuu Uganda. Waliposainishana na chama cha michezo Uganda nahisi aliyesaini alikuwa kanywa bells kidogo. Imefika wakati wa kutoa pesa jamaa wameanza kuipiga mikwara Azam ooh...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu, Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Machi 1, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC wanapambana na JKT Tanzania FC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo huu...
9 Reactions
189 Replies
14K Views
Msikilize Sunday Manara Computer FT Yanga 1 - Ken Gold FC kutoka Chunya Goli la penati Nimejutia muda wangu,nimetazama mchezo mbovu kabisa wa timu inayoiita timu kubwa dhidi ya timu ndogo kutoka...
27 Reactions
74 Replies
7K Views
  • Redirect
Habari. Kuna ndugu yangu kaniomba nimfungulie banda la kuonyeshea mpira. sehemu ipo shida sijajua vipengele Muhimu vya kufata. mfano tv ziwe size ngapi na aina gani na kutokana na kukatikakati kwa...
2 Reactions
Replies
Views
Baada ya sare kadhaa kwenye ligi wachambuzi wa soka walimshutumu na kulaumu mbinu za Kocha wa Yanga hali iliyopelekea Kaze mwenyewe kutoka hadharani na kueleza kusikitishwa na namna wachumbuzi wa...
3 Reactions
63 Replies
4K Views
Enzi hizo bana kabla ya kujengwa gombani pemba na ally hassan mwinyi tabora(viilikuwa moto enzi hizo)unaambiwa uwanja mzuri ulikuwa ccm kirumba ukifatiwa na sheikh amri abeid arusha maana wa dar...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Round ya kwanza ya makundi Simba waliingiza mchezaji mmoja kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league hatua ya makundi. Round hiyo alikua Tadeo Lwaga. Round ya pili imeingiza Wachezaji wawili...
9 Reactions
7 Replies
2K Views
Haswa team inapoenda mikoani wanaposhuka kwenye basi au kama ile walivyopokelewa Airport wakitoka Kinshasa Manula akanusurika kuibiwa simu. Kumbukeni kuna kipindi Rwanda watu walikuwa wanogopa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ilikuwa ni kero kuwasikiliza mara nyingi wakikumbushia goli 5 wao wakiziita hamsa. Hakuna aliyejali ushindi wa Simba na pointi 3. Sasa leo najua itakuwa fedheha sana kwao kwani hawatakuwa na...
35 Reactions
52 Replies
5K Views
Serikali iliangalie hili. Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu. Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana ameibuka na kudai yupo kwenye mpango wa kuifungulia mashitaka Klabu ya Yanga kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa kile alichokieleza...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom