Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama msimamo unavyojionesha hapo chini. Hongera mabingwa wa Tanzania, keep it up.
8 Reactions
19 Replies
5K Views
New orleans 128 LA lakers 111 Leo. [emoji81][emoji119] Lakers fans nawatarfu tu.. mmefungwa tena. Lakers without James Sio horrible kbsa. One man out and whole team collapses Eti 4 pts total in...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Timu hizi zinamfaha Sana jamaa akienda kwenye hizi timu anaenda kuwa straiker mmoja hatari Sana duniani na anaenda kuvunja baadhi ya record za ufungaji wa mabao duniani 1- Chelsea 2- PSG 3-...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Bifu lao lilianza zamani sana katika fukwe za bata na jiji la starehe nyingi, Rio di Janeiro Brazil. Ardhi iliyofukiwa kitovu cha soka na ilipo mbingu ya miungu ya mpira. Bebeto alicheza Flamengo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MANARA, KAMA HUUWEZI UTANI, USITANIE WENZAKO Mpira ni mchezo mmoja mtamu sana, yaani sasa hivi unacheka lakini itakuchukua sekunde moja tu, unabadilika na kuwa mwenye huzuni tele. Ipo hivyo...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi. Mimi binafsi nikiwa na akili timamu...
6 Reactions
60 Replies
6K Views
Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 86.3 kwa ajili ya mshambuliaji Mbelgiji anayecheza katika klabu ya Inter Milan Romelu Lukaku, 27, endapo the Blues watashindwa kumsajili mshambuliaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
" Ni Tanzania tu TFF ndiyo imekuwa wapole ila kwa Kitendo alichofanya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela huku akijua tena Kikanuni tu the right channels za Kupeleka Malalamiko yake...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Huku wana Afrika mashariki wote tukiwa hatuendi michuano ya AFCON nchi changa ya Macedonia Kaskazini wameipiga timu ngumu ya Ujerumani wakiwa nyumbani kwao. Ujerumani 1 Macedonia Kaskazini 2 hii...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji...
14 Reactions
43 Replies
4K Views
Kiungo msambuliaji wa Simba SC (fundi) Chama Jr, ameibuka mchezi bora wa CAF Champions League raundi ya tano kwa kishindo, baada ya kumpatia mateso ya hali ya juu golikipa wa as vita club ya kongo.
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Simba 4-1 as vital Al merehk 2-2 alhaly kwa matokeo haya rasmi simba anakua kinara wa kundi kwan mechi ya mwisho watakapo kutana simba na alhaly ata kama simba atafungwa atabaki kua kinara kwani...
14 Reactions
24 Replies
3K Views
Simba imeruhusu bao 1 tu kwenye hatua ya makundi kwenye mechi 5 mpaka sasa na hakuna goli wamefungwa ndani ya boksi lao! Hali ni tofauti kidogo kwani katika makundi ya msimu juzi waliruhusu mabao...
13 Reactions
20 Replies
3K Views
Kitendo ambacho Simba imefanya ni kitendo cha Uzalendo na Ushujaa Uliotukuka. Ni kitendo cha Kuigwa kwa Kila Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumla. Simba imepambania Taifa la Tanzania ikiwa imeweza...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama mnavyojua vitu vya Chama havina mashaka kabisa. Link hiyo hapo bila kujali wewe ni Simba, Yanga au Kagera Sukari nk
8 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Ndugu zetu sisi tukiwa tunaelekea Misri wao wako wanaelekea kwenye maandamano Kuna tatizo mahali linatakiwa kuangaliwa dhidi ya Hawa ndugu zetu
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Wadau wenzangu PNC The Icebreaker Joseverest King_Ngwaba makaveli10 kilambimkwidu Chukwu emeka BAK Anigrain The Boss Saint Ivuga dingimtoto Kanungila Karim Van De Beek FORTALEZA...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
MCHAKATO WA DRAW INAYOFUATA. 30 April 2021 ndio siku ambayo Draw ya CAF katika kupanga timu zitazocheza Robo Fainali na pia Nusu Fainali na kuingia katika mfumo wa mpaka Fainali katika Klabu...
16 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndiyo! Kunako dakika ya 24 ya mchezo alioanza katika first XI, Samatta hajawaangusha kocha na mashabiki zake kaingia kambani na katimiza kazi aliyopewa. Hii ni hatua nzuri ya kuzidi kuaminika na...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni Katikati ya mwaka 2013, zimbwe jr yupo kwenye basi la kagera Sugar anamtoroka meneja wake Heri Mzozo ili akasaini mwaka mmoja na wanankurukumbi. Hii ni baada ya tindikali za moto zilipounguza...
15 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom