Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mambo ni faya mambo ni motooo jameni, Florent Ibenge baada ya kujiuzulu kazi pale AS Vita katua kwenye mpunga mnene huko Morocco na inasemekana katika wachezaji alioingia nao hapo klabuni ni Djuma...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Natabiri mapemaa 3- 1
0 Reactions
Replies
Views
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na linalaani kitendo cha Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kumdhalilisha Mwandishi wa Habari wa Radio Clouds FM, Prisca Kishamba...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Amini usiamini hiki ni kile kipindi ambacho makanjanja ya redio/tv na magazeti huwa yanawawapa raha za kufa mtu wana jangwani, raha huongezeka pia pale MITAMBO YA MAGOLI inaposhuka airport na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KUIMARISHA ULINZI UWANJA WA BENJAMINI...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa mfuatiliaji mzuri wa michezo hasa riadha, atakubaliana nami kwamba wachezaji watatu wa kitanzania waliofanikiwa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki 2021 yanayotarajiwa kutimua vumbi kati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanariadha wa Namibia, Christine Mboma na Beatrice Masilingi wameondolewa katika mashindani ya mbio za Olimpiki za wanawake kutokana na kuwa na homoni nyingi za kiume Wanariadha hao wamezaliwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Aiseee sijui kama tuko sawa au kuna shida sehemu. Nilisikitisjwa sana juzi kusikia kwamba Tanzania itapeleka wanariadha watatu pekee kule Tokyo Japan. Hii ni ajabu sana na sijajua tunakwama wapi...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Na Mwandishi Wetu, Mikocheni-Dar es Salaam. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka usiku wa tarehe 01/07/2021 ameungana na watanzania wengi ambao ni wana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
MAHAKAMA Kuu jijini Dar es Salaam leo Julai 2 imetupilia mbali ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) uliopangwa kufanyika Agosti...
0 Reactions
Replies
Views
wakuu hii michuano ya ndondo cup ndani ya Dar imekamilisha miaka nane sasa tangu kuanzishwa kwake 2014 Je, ni vipaji gani vimeibuliwa na mashidano hayo?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
2015 Yanga 0-0 Simba Simba 1-0 Yanga 2016 Yanga 1-1 Simba Simba 2-1 Yanga 2017 Yanga 1-1 Simba Simba 1-0 Yanga 2018 Yanga 0-0 Simba Simba 1-0 Yanga 2019 Simba 1-0 yanga Yanga 0-0 simba 2020...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao. Uzalendo sio kelele...
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Mimi Binafsi nadhani huyu Hawa Mniga alikuwa mgombea wa Urais wa (TFF) avhunguzwe, Kwa nini achunguzwe. Unaweza kusema huyu dada ndiye aliyezuia baadhi ya wagombea, kufanya wakose sifa ya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
1) Katiba yenu iko Kiingereza sio wajumbe wote wanajua Kiingereza, je wasiojua wanaielewaje? 2) Kamati yako feki ilifanikiwa kuwaingiza kadhaa nyuma yako ingawa mchezo ulikuwa mwanzoni kabisa...
1 Reactions
0 Replies
589 Views
  • Redirect
Alafuuuuu waliosimamia UCHAGUZI WANASEMA ALIEENDA MAHAKAMAN MZANZIBAR ASITUARIBIE SASA MTAELEWA MAANA YA MUUNGANO UJINGA HATUTAKII KAMA MBAYU IWE MBAYU
0 Reactions
Replies
Views
Msije kusema hamkuambiwa maana baada ya mzee mpili kukutana na injinia hersi ofisini kwake na kupewa hela za kwenda kushughulikia majini ya huko ikwiriri mkadhani mmemaliza kumbe lile jamaa la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
#MICHEZO Mahakama Kuu, imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) na limemuita, Rais wake Wallace Karia, Bodi ya wadhamini ya shirikisho hilo na mwenyekiti wa kamati...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tulitangaza hili mapema mchakato wa uchaguzi tff unakwenda kuwa hivi na tukaomba takukuru fwatilieni hili. Haya sasa mmekaa kimya watu wameacha kumpigia kura karia amepitishwa kama...
0 Reactions
Replies
Views
Habari Tanzania! Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom