Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie? Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
With Barcelona now confident Lionel Messi will stay at Camp Nou, president Joan Laporta is understood to be focusing on how to build a new super-team - and is working on a deal to bring Juventus...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka. Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Kuendelea kupigwa leo Juni 22 2021, ambapo Mabingwa wa Nchi wanawakabili Mbeya City Uwanja wa Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam. Mchezo huu unatarajiwa kuwa mkali na...
8 Reactions
145 Replies
11K Views
Muhuni kaizer chiefs. Anaongoza 1-0 ugenini morocco.. thanks to Var technology... kuanzia semi final caf wanaeka var kumbe Huyu muhuni baada ya kumuotea simba leo anaendeleza bahati yake ugenini
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Sheria ziko wazi hadi fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari. Hawa jamaa michuano ya under 20 walivaaa jezi zenye nembo yq sportspesa
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna watu wakiongelea ligi yetu gape la mechi la kulinganisha na ligi ya uingereza unaweza ukadhani karia ni shetani aliyeandikwa kwenye vitabu vya dini..angalia ligi ya misri wana teams kama sisi...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Inasikitisha sana Mo ni tapeli sana Top 10 richest Football clubs in Africa 2020/21. 1. Al Ahly SC Flag of Egypt-$28.2m 2. Mamelodi Sundowns Flag of South Africa-$24.4m 3. Pyramids FC Flag of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Italy Argentina Spain Iceland Croatia Turkey Ongezea zako
4 Reactions
114 Replies
6K Views
Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Nimekaa nikawaza. Binafsi napenda sana kucheza soka la kujifurahisha. Nimekaa nikawaza tunaweza humu watu kadhaa tukajipanga tukaja na timu yetu ya maveteran umri kuanzia miaka...
0 Reactions
5 Replies
704 Views
Kwa mtu aliyeangalia mechi ya jana lile goli la Tatu la Yanga lilikuwa Offside ya wazi kabisa. Ya wazi kabisa bila utata. Lakini Tunaona jinsi ambavyo TFF inavyoshirikiana na Yanga kuzihujumu team...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimekubali hujui thamani ya ulichonacho hadi kikiondoka. Mwinyi Zahera tulimfukuza kwa mbwembwe. Ila mpaka leo yanga haijapata mafanikio kuzidi ya mwinyi zahera japo alikaa mida...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi. Ligi imekuwa ya kipumbavu Karia ni takataka kabisa Yanga...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Kila siku nasema yanga inaonewa sana kwa kweli, imagine mshambuliaji hatari aliyemzidi hata Mohamed Salah kwa magoals kwenye kwalifikesheni za afcon anaonekana kituko Bongo. Kumbuka mtambo huo wa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
"Hivi ni kwanini Waandishi wa Habari wa Michezo wa Tanzania mnapenda sana Kuzusha na Kutuchonganisha Yanga SC na Vilabu vyenye hao Wachezaji mnaotuhusisha nao kuwa tumeshawasajili? Ukweli ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kupitia Runinga leo nimetazama mechi ya Ruvu dhidi ya Yanga, Nilichokiona cha maana leo ni goli la Saido Ntibazonjiza "antibiotic akipiga free kick maridhawa kabisa, nikimtazama vizuri alijiamini...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Wadau, Mimi ni mfatiliaji mkubwa sana wa Sports Arena. Ninaamini ni kipindi kuzuri sana cha michezo na kina wachambuzi wazuri sana kama kina George Ambangile, Edo Kumwembe. Tatizo liko...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Siyo kwamba nakejeli ila sema kweli Mwanahamisi huyu forward wa Simba Qeens ni bora kuliko Sapong wa Yanga kwenye ufungaji
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom