Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini? Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake. Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
01. Kibwana Shomari [emoji1241] 02. Adeyum Saleh [emoji1241] 03. Dickson Job [emoji1241] 04. Bakari Mwamnyeto [emoji1241] 05. Zawadi Mauya [emoji1241] 06. Deus Kaseke [emoji1241] 07. Feisal Salum...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakala wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno kuendelea...
0 Reactions
6 Replies
924 Views
Habari 👋🏾 Kumekuwa na wimbi la wachezaji wa soka wanaopewa uwezo ambao kiuhalisia hawana na mara nyingi wanakuzwa na waandishi wenye mawazo hasi na vyombo vya habari vilivyojijenga katika...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwa miaka ya karibuni ukiwa Rais wa Tanzania na ukitaka ujihakikishie sana Kupendwa / Kukubalika na Wananchi anza Kuwapenda Vijana kisha njoo kwa Wasanii wa Muziki Kisha maliza na Wapenda Soka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Jiji Dar es salaam leo Julai 2, 2021 imetupilia mbali ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliopangwa kufanyika Agosti 7...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwanza naomba nieleweke vizuri kuwa nimekosa neno sahihi la kutumia zaidi ya hilo "ushenzi"Neno ushenzi ni kinyume cha neno ustaarabu. Kwa miaka mingi nchi zetu tumekuwa tukipambana na utamaduni...
2 Reactions
3 Replies
843 Views
Habari zenu wapenda soka wote popote pale mlipo na wapenda michezo mingine pia wasalaam, wakuu kumekuwa na swali fikirishi ambalo linanisumbua ubongo hivi mwaka huu endapo simba atatwaa ubingwa wa...
1 Reactions
5 Replies
591 Views
Mimi nikiwa mwana Simba napenda kuwapongeza wachezaji wetu kwani walijitahidi kutengeneza nafasi sana hasa kipindi cha pili lakini bahati haikuwa yetu. Yanga kama akina Mwadui,Prison,na wengineo...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, sababu ya kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwanza tuwapongeze Yanga kwa ushindi wa juzi ni furaha saaana kumfunga Bingwa mtarajiwa kwa Mara nne Mfululuzo, pia Robo finalist wa Klabu Bingwa wa Afirka, aliyewafunga finalist wa Mwaka huu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua. Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni...
13 Reactions
71 Replies
5K Views
Habari wana jamvi to decrare interest mimi ni mshabiki wa simba lilia na matokeo ya jana yameniuma sana na kama mnavyojua Kufungwa inauma sana. Ila kwa upande mwingne bora tumefungwa huyu mtu...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Kunataaliga zilizosamba toka jana na leo kuwa,wauza Nazi masoko yote ya Dar walikataza kuwauzia Nazi wapenzi na maahabiki wa timu ya simba, ndiyo sababu ya kupoteza mchezo kwa watani wao...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Enyi wazee wa Simba Sc,sisi vijana wanazi wa Simba tunayo huzuni kubwa sana Kwani mmekuwa kimya huku mnamuacha mzee Mpili anajimwambafy na kutupiga biti sisi washabiki na wachezaji,haiwezekani...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Derby ya Simba na Yanga inakaribia Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba. Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka Si la...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Polisi wa Metropolitan nchini England wamethibitisha kuwashikilia watu 9 ambao wamehusika na vurugu baada ya mechi ya robo fainali ya EURO 2020 kati ya England vs Ukraine. Tukio limetokea baada...
0 Reactions
1 Replies
534 Views
Jambo wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Naomba niwatonye jambo moja la hatari linaloinyemelea soka ya Tanzania endapo TFF hawatachukua hatua zinazofaa kuepushia mbali...
9 Reactions
169 Replies
15K Views
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city...
29 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom