Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma. Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe...
14 Reactions
16 Replies
2K Views
Hawa jamaa kipindi chao kimejikita katika ueledi na sio uchonganishi. Habari zao zinazingatia taarifa rasmi na si vinginevyo. Katika chambuzi zao hawaegemei upande wowote, na wanaongea wakiwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
BONDIA wa Ukraine Oleksander Usyk (34) ameshinda pambano la Ubingwa wa Dunia uzito wa juu (heavyweight) na kutwaa mikanda ya WBA, WBO, IBF na IBO kwa kumpiga kwa pointi bondia Anthony Joshua (31)...
0 Reactions
Replies
Views
Siwezi kukupa pole kwa matokeo ya leo maana wewe umesababisha wanasimba kibao kufa na wengine kupata magonjwa yasiyotibika kwa tabiri zako uchwara. Tangu mwaka juzi kila inapofikia tarehe ya Simba...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.
4 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Redirect
Hamjambo. Leo nimepata wasaa wa kutazama mechi mbili za Simba SC ambazo Sadio Kanoute alipata kucheza. Mechi dhidi ya TP Mazembe & Dar es Salaam Young Africans SC. Wachambuzi wengi wa Kitanzania...
0 Reactions
Replies
Views
Wape salaaamu! Nakemea vikali kama sio kuwaonya basi kuwashauri TFF, ni juu ya hii propaganda ya kuhusisha soka na mambo ya chanjo moja kwa moja. Katika mechi ya watani, almaarufu Kariakoo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0. Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa...
14 Reactions
85 Replies
6K Views
  • Redirect
Anaitwa Rashid Mohamed Juma Kituo mpwapwa Shabiki wa Yanga (Mama J) Amefia kibandaumiza
0 Reactions
Replies
Views
Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
8 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
Inaonyesha Yanga walibshatisha Sana kale kagoli kamoja ndio maana wanashangilia hadi kufa.Poleni sana watani.RIP Askari.
1 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wakuu, Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya Biashara United umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge. Ila Kuna huyu mchezaji mpya...
11 Reactions
68 Replies
10K Views
  • Redirect
In today Match agaist Burnley 1st goal was own goal 2nd & 3rd goal ware for his team. He scored hat trick or not???
3 Reactions
Replies
Views
Kwa hakika leo wananchi wanaenda kufurahi sana wanaenda kuimaliza siku kwa furaha Kwa kikosi hiki japo hakina muda mrefu pamoja upande wa pili huko ni homa na matumbo ya kuharisha kwa kwenda...
5 Reactions
15 Replies
937 Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa kiufundi kwenye mechi ya leo ambayo Mabingwa Wa Kihistoria wamerudi kwa staili mpya. Mabeki wa Kushoto/Kulia wa Simba SC walikuwa wakishinda nyuma wakati wote...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa sisi tunaojua mpira tumefurahia sana kazi ya kiungo wa Dar Young Africa Feisal a.k.a Fei Toto
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Hawa majamaa wawili ni moto fire, je kati ya hawa mandume nani atakaye ahinda?
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Hivi Mbagala kuna nini lakini hadi watu wawe na ulimbukeni kiasi hiki ? mechi imechezwa Jumamosi lakini vigoma hadi leo Jumapili ! Aibu kubwa sana !
4 Reactions
8 Replies
774 Views
Back
Top Bottom