Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real...
6 Reactions
117 Replies
7K Views
1. Joash Onyango 2. Henock Inonga 3. Clatous Chama 4. Pape Ousmane Sakho 5. Bernard Morrison 6. Peter Banda Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali...
8 Reactions
76 Replies
5K Views
Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo. Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Unafanyaje...
11 Reactions
53 Replies
4K Views
Michezo miwili itapigwa leo majira ya saa tano usiku kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Manchester city huku Atalanta akiialika Real Madrid . Kiwango bora walichonacho Manchester City...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna clubs matajiri katika bara la Africa zikiweno Al Ahly, Zamelek na Esperance lakini zinaendeshwa kwa mtindo wa wanachama. Kuna timu zinazoaendeshwa kwa umiliki wa mtu kununua au kuweka mzigo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Bondia Tyson Fury amefanikiwa kutetea Mkanda wa WBC The Ring baada ya kumpiga Dillian Whyte kwa TKO katika raundi ya sita ya pambano lao la usito wa juu usiku wa kuamkia leo Aprili 24, 2022...
3 Reactions
7 Replies
937 Views
"Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni...
36 Reactions
74 Replies
5K Views
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi. Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu...
17 Reactions
78 Replies
6K Views
Wadau Nawasalimu Nimeona nitoe ushauri kwa kuzingatia maslahi mapana ya Klabu yangu ya Simba Didier Gomes arejeshwe kundini haraka Tunamuhitaji sana kuliko wakati wowote ule Hakukuwa na sababu...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Simba na mashabiki wa Simba washatoka kwenye kupiga kelele na Yanga na Simba kuona wapinzani wao kama Al ahaly, Kaizer, pirates etc. Haji manara analazimisha kuwachokaza simba, eti anasema...
12 Reactions
71 Replies
4K Views
Kwanza naanza na kusema nimeumia mambo aliyofanya huyu mvuta bangi wa Hispania Ramos, Baada ya mechi usiku tukatoka nje ya pitch , nje kulikuwa hakufai, watu wanaosadikika kuwa mashabiki wa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Mi huwa sijui hawa makipa huwa wanacheza lini.Halafu unakubalije kuwa kipa wa akiba katika timu.Yaani usubiri hadi mwenzako aumie ndio na wewe ucheze.Hii ina maana umeshajiweka kuwa katika nafasi...
2 Reactions
3 Replies
479 Views
Wakuu huyu dada C.E.O wa Simba sports club ni fullbright ni mwanamke wa shoka mwenye kujiamini na uelewa mkubwa sana wa mambo. Ukifatilia huu mzozo uliopo sasa wa Simba kuvaa nembo za GSM utaona...
15 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanawanga mchana alafu wanasema tuwaombee, Mi ni simba dam dam ila kwa hili mjirekebishe
3 Reactions
11 Replies
728 Views
1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake 2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini 3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani 4. Ana Utoto mwingi 5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu 6...
9 Reactions
81 Replies
5K Views
Kwanza pongezi kwa wachezaji kwa kupambana hadi kufikia hapo,lakini hii imekua robo fainali ya tatu tunatolewa katika michuano ya caf ndani ya misimu minne. Ni muhimu sasa kujua nini...
4 Reactions
19 Replies
848 Views
Ndiyo , ni ukweli usiopingika kwamba Yanga ndiyo timu pekee hapa Tanzania yenye mafanikio makubwa katika soka la Afrika kutokana na timu hiyo kubeba makombe mengi yanayoandaliwa na CAF hali...
5 Reactions
10 Replies
732 Views
Kuna watu wameshaa kujifanya wanayoa ushauri kwa Simba ili kufanya vzr next seasons baada ya leo kutolewa CAF. Mimi nadhani si wakati muafaka kwani wahusika wanaugulia maumivu muda huu. Mimi...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom