Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Chama ni mchezaji mzuri sana wala nisiwe mnafiq.... Ni bonge la mchezaji yaani huyu bwana kama unataka kujifunza kucheza mpira si vizuri kumwangalia. Anaweza kukudanganya ukaona mpira ni mchezo...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanachokitafuta Yanga SC ( tena kwa Makusudi ) kwa Kushauriwa na Washauri Majuha ni kutaka Kujiunganisha Wao kama Klabu katika Kesi ya Mhamasishaji wao Haji Manara ili wakianza Kuikabili Kisheria...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Bonus Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho Simba 3-0 Merrick Merick 0- 0 Simba Dokezo Hiyo Somalia ni under 20 My Take Kukosoa huwezi labda uropoke
7 Reactions
28 Replies
2K Views
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF". "Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe...
11 Reactions
82 Replies
5K Views
Golini akae 1. Kakolanya, 4. Quaatara 5. Inonga 2. Kapombe. 3. Tshabalala, 6. Mkude, 7. Sacko,. 8. V. Ackpan. 11. Okrah, 10. Chama...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Simba yakutana na malalamiko kutoka kwa chama cha wenye ualbino Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
527 Views
Ni ligi ambayo ulaya waliikataa na ikashindikana kule,sasa hawa wakubwa wa Fifa wameileta huku Afrika kwakua bara hili kwa kiasi kikubwa linakabiliwa na uchumi mbovu na njaa,haraka haraka...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Mimi ni mzalaendo wa michezo Tanzania, nataka nijue siku ya hii mechi muhimu. Karibuni
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Huyu mwamba alitubariki album bora zaidi ya utambulisho wa wachezaji kuwahi kutokea tangu matamasha haya ya michezo yaanzishwe nchini. upande wangu nilivutiwa zaidi na tracks zifuatazo ktk album...
0 Reactions
4 Replies
655 Views
League hii kwa hapa Tanzania inawalishwa na simba. Tunaitakia Simba mafanikio mema.
0 Reactions
5 Replies
442 Views
Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji. Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la...
0 Reactions
3 Replies
570 Views
Mchakato wa Manchester United kumsajili Adrien Rabiot kutoka Juventus kwa Paundi Milioni 15 (Tsh Bilioni 42) lipo mbioni kukwama kutokana na kutokubaliana kuhusu mshahara. Veronique Rabiot, mama...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
kwani clouds fm hamjui kwamba congo hawapo cecafa? Mazungumzo mengii mnazitaja mazembe na as vita, kwani nyie ni vilaza? Hapa teams nane zitatoka south africa, sudan, ethiopia,zambia,angola...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naona kuna watu wasioelewa kwanini Simba ipo kwenye timu 10 ambazo hazitoanzia hatua ya awali. Wengi wao wanasema kwavile Simba ipo kwenye kumi bora Africa ndio maana wamepata hiyo nafasi. Usahihi...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Draw ya club bingwa Africa tayari . Zalan vs Yanga; Mshindi wa mechi hii atacheza na mshindi wa mechi ya St George ya Ethiopia dhidi ya Al Hilal ya Sudan Big Bullets against Simba; Mshindi wa...
13 Reactions
138 Replies
13K Views
Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa. ===== Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon...
4 Reactions
68 Replies
7K Views
Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa...
1 Reactions
47 Replies
2K Views
Watu wa Soka, Nina salamu maalum kwa mashabiki, wapenzi na wadau wa Singida Big Stars. Naomba niwafahamishe tu kuwa taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu Winga wetu Dario Frederico sio za...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom