Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo tumeona jinsi alivyowabeba utopolo na sasa wachambuzi wanachukua muda mrefu sana kuwatetea. Mpira unatoka nje anaruhusu uendelee na goli linapatikana. Mwamuzi anawanyima penalty ya wazi Azam...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
HAKUNA nchi inajua kuwapamba watu wake wa mpira Afrika kama Tanzania. Mtunisia Nasreddine Nabi kwa sasa anaitwa profesa. Alisomea wapi? Sina majibu. Ukitazama pale katikati ya dimba kuna kiungo...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo. Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ilikuwa ni mida ya saa 11 na robo hivi nikiwa nimetoka kazini nimeenda kiwanja flani kufanya mazoezi. nilifika nikaona kuna majabizano ya kelele kati ya watu wawili.. wa kwanza tumwite papai ni...
0 Reactions
3 Replies
534 Views
Zoran Manojlović Ndio jina la Kocha Mpya Wa Simba SC, Yes Baada ya Kumaliza Kupitia File lake Nimegundua kuwa Msimu Ujao unaenda kuwa msimu mwingine mzuri kwa WanaJangwani. Kutokana na Rekodi...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
To be honest, hizi hazina uwezo ndani ya pitch, hao yanga wanaoonekana kuwa wazuri mwaka huu, ni kwa sababu Simba na timu nyingine zote mbovu, vile vile Yanga inasaidiwa sana na baadhi ya vilabu...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Mbona timu ya Taifa huwa hatuuoni ubora wa Feitoto? Na anaogopa kucheza vilabu vya nje au ana mkataba nayo akiwa yanga tu?
1 Reactions
7 Replies
591 Views
Zoran: Akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa "Mimi ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi. Pia sitaki pasi za nyuma" anataka pasi za kwenda...
6 Reactions
102 Replies
5K Views
Ni uleule muendelezo wa vita kati ya karia na yanga sc kwa kutumia ukaribu wake na Motsepe ameagiza Ngushi akatwe jina lake wana yanga amkeni nyie, mnaonewa sana.
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio...
1 Reactions
10 Replies
783 Views
Kanuni zipo kwa marefa wanaofanya makosa,Yanga wanajisifu unbeaten kwa sababu ya kuhonga marefa. Refa yoyote atakayechezesha mechi ya Yanga na akawafavor apigwe faini na kufungwa. Ligi haiwezi...
5 Reactions
4 Replies
628 Views
Leo ni game ya 40 kweny ligi ya NBC timu ya Wananchi hawajaonja kichapo cha kupoteza mechi. Japo najua huko mbeleni watafungwa tu ila paka kufika hapa wanastahili pongezi. Bravoo...
1 Reactions
25 Replies
667 Views
Hakuna adui wa kudumu bwana , hakuna mkate mgumu mbele ya chai, naaaam penye udhia penyeza rupia, hata watu wenye akili zao watajizima data, BOOOOM Somo kwenu kina TRY AGAIN, fungueni booster...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Lorenz kohler ni mwandishi mkubwa sana south africa, matter of fact is, ni best sports journalist wa huko award hiyo kashinda mwaka huu Kuna siku nilibishana naye facebook kuhusu lile sakata la...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo sioni yanga akitoboa sababu team yangu iko imara mno. Eneo la beki sina mashaka na AMOAH na MALICKOU NDOYE. Kiungo kocha utachagua tu ISSAH NDALA au JAMES AKAMINKO au Mzawa BAJANA Winger...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Leo kutakuwa na Mtanange wa Kukata na Shoka kati Azam Fc na Yanga SC. . Wakuu mechi hii itaanza majira ya saa 2:15 usiku Uwanja wa Chamazi Complex. . Tunajua ugumu wa game hii ya leo Ukizingati...
7 Reactions
440 Replies
26K Views
Zoran manoljovic (60) will be the new head coach of Egyptian premier league side (al ittihad) after partying away with Tanzania giant simba sports club today. The serbian is expected in Egypt...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
  • Redirect
Kila la heri mtanzania Sopu
0 Reactions
Replies
Views
Mwez wa nane Simba iliingia mkataba mnono kweli kweli na m bet Sasa inakuaje aliyekua kocha wao zoran mak anavunja mkataba na kwenda ittahadalexsc. Inamaana club tajiri Tanzania na level moja na...
1 Reactions
2 Replies
576 Views
1. Matola atoke hapo benchi apewe hata timu ya vijana. 2. Mashabiki walishashauri Simba waache mazoezi ya wazi, mnajifanya modern football ,mwenzako anasoma mbinu yako ya mchezo we humsomi. Yanga...
19 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom