Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukipita huku unasikia ya timu kongwe zaidi katika taifa hili kuanza msimu mpya wa ligi bila jezi mpya, mara paaap uteuzi wa C.E.O mpya wa klabu fulani huko mjini waibua mzozo mkubwa huko twitani...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
⚽️ Mabingwa watetezi Simba 🦁 wanafungua dimba la ligi kuu dhidi ya wageni Ihefu, mnyama atashinda ngapi leo? Simba kushinda ni uhakika Bofya Parimatch kucheza sasa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa...
17 Reactions
66 Replies
8K Views
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina Kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near...
12 Reactions
108 Replies
13K Views
Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Msimu uliopita tuliona kwenye mechi 2 za kwanza alience walimfukuza kocha Mechi ya tatu mbao wakamfukuza kocha Mechi ya 6 utopolo wakamtimua zahera Mechi ya 7 simba wakamalzana na Ausem Tupia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nawasalimu waungwana na wapenda maendeleo ya mpira wa Tanzania. Mimi ni moja ya wadau ambao nilipongeza sana uamuzi wa klabu yetu ya Simba kubadili mfumo wake wa uendeshaji ili kujiendesha...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Huu ni ujumbe wangu kwa wapenda haki wote kwenye soka la Tanzania .
14 Reactions
168 Replies
15K Views
Kumekuwa na sintofahamu ndani ya uongozi wa Simba baina ya Mwekezaji Mohammed Dewji ambaye ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Mwenyekiti wa klabu ya Simba Swedi Mkwabi Taarifa za ndani...
2 Reactions
130 Replies
11K Views
Leo kutakuwa na interview kubwa kabisa itawakutanisha miamba mitatu kwenye sport na music kwa pamoja Msanii number 1 wa Tanzania, Msemaji no 1 wa mabingwa Simba sports club na Tajiri Mohamed (mo)...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwenye jezi mpya za Simba kuna haya maneno 'Mo Simba Foundation', pia kuna Mo Simba Arena(uwanja wa mazoezi) Kwa mnaofahamu, hizo project binafsi za Mohamed Dewji au ni za Simba kama Club?
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Halafu tukiwa tunawasema hapa hapa kuwa Yanga SC kuna 'matatizo' makubwa hasa kupitia Viongozi wake na Wafadhili huwa mnadhani GENTAMYCINE kwakuwa ni Simba SC basi nakuwa nawaonea na Kuwaandama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Lekaga gete, nahene milimo. Mlimpola bhagosha bhane! Shalom! Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT...
6 Reactions
78 Replies
6K Views
  • Redirect
Menejimenti ya Klabu ya Simba kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohamed Dewji imemtangaza Barbara Gonzalez kama Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Barbara anachukua nafasi ya Senzo...
3 Reactions
Replies
Views
Kombe analokabidhiwa Bingwa wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON limeripotiwa kuibiwa kutoka makao makuu ya Chama cha Soka cha Misri, EFA Makamu wa rais wa zamani wa EFA, Ahmed...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu samahani nilikuwa naomba kujuzwa ni mchezo Upi kati ya karate na boxing mzuri kujifunza tukianzia kwenye urahisi wa kujifunza , mitindo ya kuicheza ,mazoezi na kwny self defence upi ni mzuri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sanchez: Nilitaka kuondoka Man Utd na kurudi Arsenal baada ya kufanya mazoezi siku ya kwanza. Mshambuliaji wa kimataifa wa Chile, Alexis Sanchez amekiri kuwa alitaka kuondoka Manchester United na...
2 Reactions
5 Replies
890 Views
Club ya Simba imechelewa sana kuwa na Duka la Club na hasa ikizingatiwa club ipo kwenye very stragic area for business. Cha kufanya sasa ni kuondoa hizo frame za watu binafsi na kuanzisha duka la...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakika inasikitisha sana TFF na Klabu zetu zinapowatelekeza Wachezaji wake walioliletea Taifa na Vilabu zetu wakati wanacheza mpira.Mchezaji Allan Shomari alikuwa Mchezaji mahiri wa Klabu ya Yanga...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom