Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

'Injinia' Hersi Said acha kudhani kuwa Watanzania hawafatilii mambo ya Michezo kama hao wana Yanga SC wako ambao kila mara unapenda 'Kuwadanganya' na sijui umewapa 'Sumu' gani ambayo aliyekuwa...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
GSM Waliokuwa Home Shopping Centre ni wahuni toka Serikali ya Kikwete. Hawa tunawafahamu walikuwa wakifanya uhuni kukwepa kodi, baadaye alipoingia Magufuli madarakani walijifanya wamefilisika na...
16 Reactions
59 Replies
8K Views
Baada ya hizi habari Yanga imefuta post zoote zilizozungumzia usajili wa huyu jamaa
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Akizungumza jana kupitia Kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Wilfred Mwakalebela alisema tena kwa 'Kujimwambafai' kabisa kuwa Wanachama na...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
SENZO alikuwa CEO wa Simba Sports Club na sasa amehamia Yanga (Dar Young African). Napenda kujua kule amekuwa nani, Katibu Mkuu, Mwenye Kiti, au nani. Hili swali ni kwa sababu Yanga bado wanatumia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Redirect
Uzuri wake ana kisingizio cha maana kwamba yeye hajafanya usajili. Wachezaji kawakuta tu
2 Reactions
Replies
Views
Habari za saa wakuu, Nini hupelekea mchezaji kupiga mashuti makali (mf: kama Msuva kwenye mechi ya Tz na Egypt ) Nguvu hizo za miguu zinapatikanaje?
2 Reactions
38 Replies
9K Views
Baada ya heka heka za ufunguzi wa kampeni za CHADEMA huko Mbagala si vibaya makamanda mkapitia pale uwanja wa uhuru " shamba la bibi" kumshuhudia kijana wetu wa mwananyamala Dulla Mbabe...
1 Reactions
4 Replies
968 Views
Kwa namna nikivyoiona Simba ikicheza jana, kwa ile speed na ujanja ujanja wa akina Morrison, Micksone, Bwallya na wengineo ni dhahiri yule dogo aliyetoka Mtibwa A.Shomari hatoweza kupambana nao...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa mpira wa vikapu wanaume na wanawake hapa Marekani wamesusia wiki hii kushiriki kwenye michuano ya finali ambayo imekuwa ikiendelea wakilalamika dhidi ya polisi...
1 Reactions
0 Replies
783 Views
Mlicheza mechi kimya kimya na timu ya mtaani mkapigwa goli tatu kwa sifuri,na goli ya kwanza alichomesha mwamnyeto . Halafu mnasema vitalo timu mbovu. Sasa hivi mnapiga game kimya kimya kama...
13 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii ni Fc Porto, walitikisa Ulaya miaka kadhaa, unawakumbuka wachezaji wangapi katika kikosi hiki? Wataje kwa majina...
0 Reactions
10 Replies
22K Views
Habari zenu Wana jukwaa la michezo! Mimi nataka kufahamu kutoka kwa magwiji wa betting,ninyi mnatumia mbinu gani kushinda hizi jackpot za sport pesa,mkeka bet,m bet na zinginezo? Maana wenzenu...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
SIMBA SC YACHEZA MECHI MBILI KWA MPIGO LEO ASUBUHI YASHINDA ZOTE, YAIPIGA KMC 3-1 NA TRANS CAMP 5-2 UHURU KATIKA kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii, Simba SC wamecheza mechi mbili za kirafiki...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Hii hijawahi tokea, usajiri hata wachezaji kumi wapya imeshindikana, pamoja na TFF kkuongeza nafasi hadi 10 lakini Yanga yangu ni shida sana, umasikini haujawahi acha MTU salama.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mpira anao upiga kijana itoshe kusema kua sisi Wana nchi tumekubali kua mwaka huu ama zetu ama zao Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu, sote tumeshuhudia wiki za usajili wa vishindo ambao umetikisa jiji kama sio nchi kwa ujumla wake. Naweza kusema matukio makubwa ya kisiasa yameweza kutulizwa na muingiliano wa mambo ya...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Hili pambano naona ndilo pambano kali kuliko yote uliyowahi kushuhudia duniani. Kama una roho ndogo usiangalie tafadhali. Rumble in the Jungle ilikuwa moja ya wakati muhimu katika historia ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
habari za asubuhi wana jamvi, pongezi kwa timu zote zinazofanya usajili huku tukiona majina makubwa ya kitua nchini toka nchi jirani tena wakiwa na bado na mikataba na timu zao kama vile hawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom