Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wote waliopo 'pale' hakuna aliyeitwa National Team hata kwa kutajwa tu...Hata hivyo Yanga imemnasa Kitasa Saidi Ntibazonkiza. Tunasema hivi Yanga ilipo tupo.. Bw Saidi akifika tunamsubiri kwa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Muda si mrefu tu uliopita kuna Barua kutoka Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu kwenda kwa Klabu ya Yanga ikiwataka upesi sana Kurejesha Serikalini ( Wizarani )...
13 Reactions
40 Replies
6K Views
Soka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake...
10 Reactions
220 Replies
29K Views
Hebu tupate kumfahamu Saidi Ntibazonkiza kwa ufupi, jamaa amezaliwa 1 May 1987 kwa majirani zetu hapo Bujumbura Burundi kwa hiyo kwa sasa ana miaka 33. Kuhusu umri tuache hivyo hivyo tu maana...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Mimi shabiki kindakindaki wa timu ya young african uku nikiwapenda vibaya sana majogoo wa anflied liverpool naomba leo utaje mtangazaji wa mpira wa miguu anayekuvutia kwa saa tanzania hii...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kuna kitu kimoja kwenye soka la Tanzania! Soka ni Simba na Yanga! Maamuzi, uendeshaji, uratibu, mipango nk yote inategemea /inahusu siasa za Simba na Yanga. Hii ni hatari kwa mustakabali wa Soka...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
2 Reactions
22 Replies
2K Views
1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo 2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema...
26 Reactions
77 Replies
8K Views
Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Taarifa toka kambi ya timu ya taifa ya ureno zinasema kuwa cr7 ana corona na ameondolewa kwenye kambi hiyo ili kushughulikia matibabu. Namtakia apone haraka maana uefa inakaribia Source...
0 Reactions
4 Replies
701 Views
Nimesikia sikia kuwa mwaka huu kuna huu mpambano. Mwenye habari kamili tafadhali. Ikiwemo kuthibisha kama wako uzito unaoendana Mwakinyo vs Twaha kiduku
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna wakati unashindwa kuelewa kile wanachokifanya uongozi wa Yanga. Iko siku uongozi huu utaingia kwenye ugomvi mkubwa na wanachama na wadau wa Yanga. Matukio ya hovyo mpaka sasa chini ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mi naona kocha aanze kutafuta straika vijana ,pia angewahi kubadili viungo kama mzamiru angeingia mapema,pia walitumia winga ya kushoto sana badala ya kulia sijui kwanini huyu wa kulia akawa...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Huu mchezo nilifundishwa na mjomba wangu ambaye maisha yake kwa kiasi kikubwa alikulia China,na alijulikana Kama master G. Mpaka hapa nilipo nina rank ya mkanda mweusi,huu mchezo siyo tu kuwa na...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Natamani iandaliwe mechi hiyo iwe official kabisa pale kwa mkapa.. Wachezaji wawepo mashabiki kindakindaki wa timu hizo pendwa nchini..ikibidi ni wale tu ambao wana fahamika..yaani watu maarufu...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu...
10 Reactions
109 Replies
12K Views
Uwanja umependeza kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Burundi na Rwanda
8 Reactions
38 Replies
5K Views
Mtaalam kukupa assist haitaji kuwa karibu na goli.Hata akiwa mita 60 anaweza kufusha mpira ukafunga. Watangazaji mtamaliza majina yote RB..Magician Left footer...Soft touches...maestro...halafu...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom