Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu Salaam; Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kua imemfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic. Hata hivyo Yanga SC hawajatoa sababu yoyote ya msingi ya kumfungashia virago kocha huyo. Nini maoni...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakati dirisha la usajili likikaribia kufungwa huko barani ulaya kumekuwa na habari mbalimbali zikiendelea lakini kubwa ni winga wa Borrusia Dortmund Jadon Sancho akihusishwa na kujiunga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NIMEONA KUKAA KIMYA SIYO BUSARA SANA NAOMBA NA MIMI NIJARIBU KUSAIDIIA KWENYE HILI, Picha ambazo zinaonekana hapo chini za Bernard Morrison ambazo walipost simba sports club kabla ya kesi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
RASMI: Kocha mpya wa klabu ya Yanga ni Zlatko Krmpotic, raia wa Serbia ambaye ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Kocha huyo anatarajiwa kuwasili kesho jijini...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Miaka ya nyuma hawa jamaa walokuwa balaa kiwanjani wakilisakata gozi la ng'ombe,kwa uchache (waweza ongezea): Ubwa Makame 'Mzungu' Leonard William Juma Mkambi 'Jenerali' MohamedBakari 'Tall'...
1 Reactions
118 Replies
21K Views
Moja kati ya watu niliofurahia kusikia wanasajiliwa Yanga ni Faridi Musa. Ila nashangaa toka ligi ianze amecheza mechi moja tu. Mechi zingine zote haonekani hata benchi. Je, anashida gani?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hakuna haja ya kumgombania Morrison mmoja... Nachoamini vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vinakosa scouting nzuri za kuibua vipaji maridhawa kutoka hapa hapa nchini. Yanga bwanaa Au kisa Ni ile...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
TIMU ya Barcelona iliwasili juzi usiku mjini London kwa ajili ya kukabiliana na Manchester United katika mechi ya fainali ya kuwania ubingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya siku ya Jumamosi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii akili ya wapi? Ni akina nani wanamtuma Kubwa Jinga Mwakalebela kwa suala la Morrison? Yanga wamepita wachezaji wangapi wakaondoka team ikabaki? Kwa nini Morrison anaonekana kututesa sana...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
Game ngumu kwa kila timu, magoli ya kubahatisha huku wakibebwa na waamuzi, hawana uhakika kesho itakuwaje, kipigo cha mbwa mwizi bado kipo kichwani, hivyo wanaona ni bora wapigane. Ni kama...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
  • Redirect
CHELSEA 6-0 BARNSLEY, League Cup: Post-match reaction Uwekezaji wa £89M ilikumnasa Kai Lukas Havertz umeanza kuzaa matunda. Kijana ameanza ku adapt baada ya kutupia brilliant hat-trick...
2 Reactions
Replies
Views
Je, anayoiongoza Yeye ni Young Africans kama aliyokuwa akiitaja leo au ni Yanga African au ni Yanga Sports Club au Dar es Salaam Young African? Kisha akishamaliza 'Kunijibu' hili namwomba pia...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Wadau wa JF, Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe. Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa...
33 Reactions
146 Replies
13K Views
Wakati nikikua mchezo wa kuruka kwa upondo na ule wa kuruka kawaida sambamba na mchezo wa kurusha mkuki na vitu vizito ilikuwa inafanyika na watu walikuwa wanafanya vizuri. Ukizingatia kwamba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwakalebela na kundi lao miezi mitatu iliopita walituambia tunaenda "CAS" kuhakikisha kuwa Morrison anarudishwa yanga.Chaajabu Leo wamerudi Tff tena. Hivi Leo mwakalebela amesahau njia ya kwenda...
7 Reactions
65 Replies
6K Views
Kumekuwa na tatizo la mashabiki kupigwa uwanjani hasa wa Simba waingiapo mechi za Yanga. Kuhusu uchunguzi wa sababu za vurugu hizo TFF anzieni hapa. 1/Wapo mashabiki wa timu moja ni wakorofi sana...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Wadau wa michezo toka enzi na enzi tunataniana na si kuvuka mipaka ya kuanza kutafutana matawi na kuanza kubomoleana vizimba vya matawi. Toka muda mrefu nimemfuatilia msemaji wa Simba kwa kauli...
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Labda akacheze championship,
14 Reactions
198 Replies
19K Views
Comment timu yako hapa
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom