Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Jamani naomba uzoef wenu saizi, hivi ukiulizwa kwenye interview nini matarajio yako, unatakiwa ueleze mambo yanayohusu nini hasa? Naomba uzoefu wenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nianze Kutoa Pongezi kwa Ndugu Maxence Mello kwa Kuanzisha Mtandao huu miaka 10 iliyopita amethubutu na ameweza japo huu mtandao unachangamoto and it is believed that ni Wa wasomi tuu it is true...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Samahani na poleni na majukumu ya hapa na pale, Mwenzenu hapa ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha,mwaka wa mwisho... Ombi langu kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia naomba anisaidie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SOMA HILO TANZAZO THEN WASILIANA NASI KWA NAMBA ZILIZOPO KWENYE HILO TANGAZO
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kati ya asilimia 5 na 10 ya watu ambao wamekaa muda mrefu bila kuajiriwa huondoa habari kuhusu shahada za chuo kikuu na habari za ujuzi wao wanapotuma maombi ya kazi, kwa sababu habari hizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta kazi inayohusiana na kilimo, elimu yangu ni stashahada ya kilimo na mifugo yaani (diploma in general agriculture). kwa sasa napatikana mbeya lakini nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
-Nina elimu ya stashahada(diploma) ya kilimo na mifugo.....ujuzi wa kutumia computer vizuri -Experience ya miezi saba kwenye kampuni ya uzalishaji wa parachichi.... -nipo Mbeya na nipo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu,sijui niseme ndio nimepishana na gari la mshahara au vipi?nilikua town kwenye mishe zangu na nimekuja kukuta missed call ya hyo number,inaweza kuwa ni ya kampuni gani wakuu?
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habarini, Jaman nahitaji kujua process za kufuatilia vyeti pale DMI(Dar es salaam Maritime Institute) na gharama zake. Nilisomea course 4.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sauda mschana wa miaka 22, ana elimu ya kidato cha NNE ana certificate ya journalism. Anatafuta kazi za kuuza duka, za ndani,za migahaw nk.Mawasiliano 0686051520
0 Reactions
1 Replies
961 Views
VACANCIES ADVERTISEMENT UNITEC civil Consultants Ltd is a Consulting firm registered with the Engineers Registration Board (ERB) specializing in Civil, Structural Engineering, Project Management...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu ana kampuni inayojishughulisha na kuwatafutia mabinti wa kitanzania kazi za ndani Uarabuni. Anadai anatekeleza ahadi aliyotoa wakati wa uchaguzi 2010 kuongeza ajira...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari wana jf wenzangu,,,!natafta kazi ya clinical assistant katika hospital ,dispensary au kituo cha afya chochote!kwa anayefaham naomba anisaidie kunfahamisha tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nafasi zilizotolewa na gazeti la jamhuri walikuwa wanabipu maana wapo kimnya mpka leo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JOB VACANCY Description OMROS Technologies Ltd is a fast growing IT Company based in Dar es Salaam, Tanzania that combines an array of advanced services and expert technical resources with a...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Naomba mwenye kujua hili anijuze. Taasisi za serikali mfano Kibaha Education Centre,Udsm,Udom,Taasis ya elimu ya watu wazima,n.k ukiajiriwa na mojawapo mfano una bachelor ya ualimu na unaenda...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Hivi hizi nafasi ziliishiaga wapi? Mana mpaka leo kimya!! Hizo nafasi hawakuzitoa ktk tangazo lao la usaili, alaf mpka Leo hakuna maelezo yoyote kutoka kwao. Ajira za tz!!! Mmh!!! Taasisi ya umma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba kuuliza, hivi inachukua muda gani toka mtu anapopigiwa simu ya kufaulu usaili mpaka anapoenda kuanza kazi?? Kuna ndugu yangu alipigiwa mwishoni mwa mwezi Wa 5 kuwa amefaulu...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
VACANCY ANNOUNCEMENT Background of the Company Microf is a company limited by Guarantee operating in Tanzania since February, 2015. Our vision is to become the centre for microfinance...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Back
Top Bottom