Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Natafuta marketing agents,, wawe na vigezo vifuatavyo 1.Awe amemaliza form six na anajua kutumia lugha ya kiingereza na Kiswahil 2.Awe mchangamfu,, mwenye lugha za biashara ya ushawish na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumaini amjambo humu ndani wasaka tonge wenzangu, samahani wadau naombeni mnielekeze makao makuu ya sido kwa hapa dar es salaam nina shida ya kwenda huko.
0 Reactions
24 Replies
13K Views
  • Redirect
Ndugu zangu wana jamii, mh. Magufuli amesitisha ajira mpya kwa miez 2 zaidi, pia amesitisha upandishaji vyeo na madaraja kwa watumishi kwa muda tajwa hapo juu, uamuzi ni mpaka tatizo la watumishi...
0 Reactions
Replies
Views
S&E HEALTH SOLUTIONS ni project inayojishughulisha na utoaji wa elimu na ushauri wa Afya, Urembo Na Vipodozi kwa jamii zote za Tanzania . Kwa sasa inahitaji wasichana watatu (3) kwa ajili ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa jamaa mwezi ulopita walitangaza kazi mwenye taarifa kuhusu interview yao ilishafanyika au?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa anayefahamu NMB kitengo cha ICT walitangaza nafasi za kazi deadline ilikuwa tarehe 4 mwezi huu, vp wameishaita interview juu kwa juu au tusubiri?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
Natafuta binti aliyemaliza form 4 na computer course wa kufanya Kazi kwenye stationery yangu ndogo awe ana vigezo vifuatavyo. 1.Awe anaishi Temeke. 2.Muaminifu 3.Speed ya typing (lazima) 4.Ajue...
1 Reactions
Replies
Views
Job Vacancy About the company: Serengeti World Mover is the Non-governmental organization located in the village of Mugumu in Serengeti, Mara region in Tanzania. The NGO was officially...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
NAFASI YA KAZI TANZANIA EWURA CONSUMERCONSULTATIVE COUNCIL-DAR ES SALAM MWISHO TAREHE 24 JUNE 2016. Minimum Qualifications, Experience: • Form IV Secondary School certificate with passes in...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Anahitajika sales person mwenye vigezo vifuatavyo kwa ajili ya kuuza/kusambaza maji ya chupa. Ofisi ni Nyegezi Kona. 1. Atleast awe amemaliza form six. 2. Mwenye kujiamini na mchangamfu. 3...
0 Reactions
4 Replies
806 Views
Napenda kazi ya hoteli hivo mwenye kujua mahari kuna nafasi ya kazi anielekeze_________ [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Musamaganga45@gmail.com Or mussatendeli@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimeona tangazo la ajira za tazara zikiwemo za huko zambia, ila nilitaka kupiga simu niwaulize baadhi ya mambo ili nijue kama naweza kuaply hasa zile za vituo vya kazi zilizo zambia lakini sina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kazi stationery Kazi stationery
0 Reactions
0 Replies
943 Views
  • Redirect
SERIKALI imesitisha ajira zote, kama njia ya kukabiliana na wimbi la watumishi hewa. Kutokana na uamuzi huo hivi sasa hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa Serikali na wakala zake pamoja...
1 Reactions
Replies
Views
Experts from foreign countries working in Kenya risk losing their licenses unless they adhere to new the policy guidelines set by the NGO regulator recently. The regulations seek to bar...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Hawa jamaa wametangaza nafasi za kazi nimeona ZooomWebsite, je wanalipa vizuri na vipi mazingira ya kazi? Mwenye kuwafahamu atoe msaada tafadhali
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Omurunji, awagambaki wakuu.. nimekua nikiona uzi mbalimbali kuhusu nafasi za kazi zilizotolewa na hizi taasisi, kama sikosei PBZ ilikuwa mwezi wa pili na FNB/MWALIMU zilikuwa mwezi wa tatu, lakini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zile nafasi walizotangaza January za assistant auditorII ndio wameanza kuita sasa hivi. Mimi wamenitumia email jioni hii na attachment ya majina.interview inafanyikia Dodoma 24 &25 june
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Narafuta kazi ni mwalim wa history na geog elim ni diploma mkaz wa dar es salaaam
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom