Kuna Mtu aliyeitwa kwenye usahili wa hii post ya marketing and communication officer katika NGOs ya Agape aids control programme based in shinyanga. Kama yupo naomba ani PM tute jambo
Habari
WanaJF naulizia zilipo ofisi za WFP kwa hapa tz coz nataka kuomba internship.. Niko interested na shughuli zao za kuend hunger #zerohunger at the same time kudevelop my career, hvo anejua...
Natafuta kazi inayohusiana na nasuala ya kilimo na mifugo.
Ninayo Elimu ya (stashahada)diploma in general agriculture.
Jinsia yangu yakiume
Ninaumri wa miaka 23.
Kwasasa napatikana dar es salam...
Kuna tabia moja muhimu sana ambayo inaonekana kwa watu waliofanikiwa sana kwenye kila nyanja ya maisha. Tabia hii kuna watu wengi wanayo ila hawajajijua na kuanza kuitumia na hata kama huna...
Habari wasahiliwa wenzangu je kwa wale tuliofanya usahili siku ya tarehe 20/06/2016 kwenye kada ya office assistant je watu wameshaanza kuitwa? nisaidieni kwa majibu jameni!
Mimi Fundi umeme wa Nyumba mwenye uzoefu mkubwa..na nina certificate kutoka Veta..Pia nina Store keeping Certificate mbili moja kutoka NBMM na nyengine T.I.A...naomba kazi kutoka mtu yoyote mwenye...
Mambo vip? Ninatafta kaz mtaani pagumu sana mm ni bint elimu kidato cha nne kwa ssa napatkana mjoa mpya wa geita ninatafta kaz ndg zangu walau nikipata pesa mwakan nirisit nimekaa home tang 2010...
TCRA imetangaza nafasi ya kazi magazetini ya mwandika hotuba ofisi za ITU zilizoko Geneva uswisi kwenye gazeti la Raia mwema ukurasa wa Tano.Maombi yanatakiwa kutumwa TCRA
KAZI YENYEWE HIYO HAPO...
Mimi in mwanachuo wa Chuo Fulani pale Arusha,nasomea degree ya sheria na naingia mwaka wa pili mnamo mwezi wa kumi..natafuta kazi ya muda ya kufanya(part time) ili niweze kujiendesha...Nna uzoefu...
J& k company limited.
YAH:USAJILI WA MWANZO WA WANAKAMPUNI PAMOJA NA UTAMBULISHO WA KAMPUNI.
Mambo vipi wadau.kichwa cha habari hapo juu chausika.dhumuni ya andiko hili ni kuitambulisha kampuni...
Habar zenu wadau!
Naomba kujua jambo hili.
Ivi mtumishi wa Serikali ktk halmashaur yeyote ile anaweza akajiunga Police au Magereza au Uhamiaji au JWT!
Je Taratibu za Kiutumishi zinaruhusu...
Vijana ambao mliomba kazi zile zilizotangazwa mwezi wa 10 na Mkafanya Interview mkiwa wengi Pale Dar es Salaam University College of Education (DUCE) Mkiwa wengi sana.
Habari za ndani zinasema...
Habari wana jamiiforum. Naomba kama kuna Afisa Mtendaji wa Kata kutoka wilaya za Dar au Pwani atakayependa tubadilishane aje Siha Kilimanjaro. Thanks in advance.
Habari, kama wewe ni kamera man ambaye hujaajiriwa wala haupo katika kampuni yoyote na una uwezo wa kushoot movies na music video za aina zote naomba tuwasiliane 0658644485
Moo Entertainment
Wadau mimi ni mwalimu wa halmashauri moja hapa Tz.nimeajiriwa kama mwalimu wa stashahada.Baadae niliomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa ila nkaona si busara kupoteza fursa.
Nilipoondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.