Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Mwalimu wa Kemia na Baolojia anahitajika. Shule ipo Dar es Salaam, Kiluvya, Wilaya ya Ubungo.
0 Reactions
0 Replies
683 Views
  • Redirect
Habari wana Jukwaa! Anahitajika Mwalimu wa English katika Shule ya DECENT SCHOOL . Shule ipo Mwenge karibu na ITV. Mwenye uhitaji fika DECENT SCHOOL -Mwenge ukiwa na CV+Cover letter. Mwalimu ni...
0 Reactions
Replies
Views
Mwalimu wa Kis/Geo mwenye taaluma ya stashahada au shahada anahitajika haraka iwezekanavyo. Shule ni ya binafsi(sekondari) ipo mkoani Singida. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau mwenye chanzo chochote cha kazi asaidie.ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina level ya Postgraduate Diploma in Edu kwa masomo tajwa hapo huu kama kuna shule ya private INA nafasi ya mwalimu masomo hayo an PM
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari! Naitwa mwalimu Mtunia S.M nimemaliza chuo mwaka jana bachelor of education hivyo natafuta kazi ya kufundisha secondary O- level au A-level mahali popote. Contact; 0718230330 Aksanteni.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna mwalimu hapa grade A anatafuta kazi private primary schools alipangiwa peripheral sana anatafuta kazi mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Hi! Wanajamii, nadhani wapo walimu wanaotaka kuhamia mko wa ARUSHA. Walimu kutoka mkoa wa Kilimanjaro Tanga na Morogoro tuwasiliane 0755883313
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi Mwl.wa CHEMISTY NA BIOLOGY level ya elimu ni shahada.Mwenye shule yaau mwenye habar wa shule zenye uhitaji tuwasiliane.0752590897.
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Halo JF, Mimi ni mwalimu wa somo la Food and Human Nutrition (Chakula na Lishe), naomba kujua jinsi nitakavyopata Ajira kufundisha somo hili kwa sababu somo hilo huwa halipo kabisa kwenye OTEAS...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TANGAZO LA AJIRA: Mwalimu wa Pure Maths na Physics anahitajika... Mshitue atume CV na Vyeti kwa What's app' Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14/9/2018 Kipaji na uzoefu ni sawa cha msingi...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Kwema wakuu??? Habarini na poleni na majukumu.... Naomba kujuzwa kama kuna shule ina nafasi baada ya hizi ajira kutangazwa.... Mie sijabahatika kupata sijajua sababu ni nini .. Elimu_-Bsc with...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
nafuta kazi ya uwaalim wa geography na history . Mi ni degree holder nina uwezo wa kufundisha ngazi zote from primary to secondary advanced level . Nipo dar my contact 0713586966 or 0659462262 or...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shule ipoo mto wa mbuu barabaraa ya kwendaa kwa babu Wa loliondo shukiaa kituo kinachofahamikaa kama kona engarukaa. Day and boarding school. Ada zetu ni nafuu na form znapatikanaa ofisini...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
mwl wa phs and math dip. or degree anahitajika haraka sana THOMAS SEC. ipo g/mboto fika shule au nipgie 06 82 88 37 03
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Waziri wa Uchukuzi,Dk Harrison Mwakyembe. Picha na Maktaba. KWA UFUPI Akizungumzia na watendaji wa Rahco na mwekezaji, aliyekodishwa eneo hilo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Monaban , Phillemon...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Habari jamii forum, Kama kichwa cha Habari kinavyo sema mimi ni mhitimu chuo cha SUA mwaka 2016 bsc environmental sciences and management sijapata kazi na msoto mtaani unaendelea kuwa mkubwa...
16 Reactions
160 Replies
20K Views
Wasalaam, Ndugu zanguni ni mwaka wa saba sasa natafuta kazi bila mafanikio. Niliomba kazi kila mahali lakini sijafanikiwa. Nikajaribu kuwaomba maboss mbalimbali lakini niliambulia kuombwa...
3 Reactions
92 Replies
15K Views
habari zen ndugu zangu! ni mdada wa miaka 26 sasa jamani tangia nihitimu chuo mwaka juzi july mpaka leo cjapata kazi wallah! nafanya application ziczo na kikomo yanni lkn wap! nimejitolea sehemu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi, Mimi ni msichana natafuta kazi ambayo ni halali itakayoniingizia kipato, Nina degree ya procurement and logistics management.. Kwa mwenye kuweza kunisaidia au anaitaji maelezo...
2 Reactions
90 Replies
9K Views
Back
Top Bottom