Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Natafuta kazi yoyote inayoweza kuniingizia kipato baada ya kupata misuko suko kwenye biashara zangu. Nilikuwa nimewekeza katika kilimo cha mahindi huko Tanga lakini mambo yameenda mrama baada ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Redirect
Sielewiii........[emoji9] [emoji9]
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimemaliza degree ya procurement and logistic management (2012-2015) tia,tanzania institute of accountancy. Nimetafuta ajira kwa mwaka mzima sijapata (watoto wa mjini wanaita kusanda).rasmi sasa...
1 Reactions
Replies
Views
Naomba anae jua kinachoendelea kuhusu uhamisho ulokua uhidhinishwe june Tumekua tukosubiri bila kujua kinachojiri mwenye updates pleas
1 Reactions
12 Replies
2K Views
President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
.
2 Reactions
2 Replies
712 Views
Habari ndugu jamaa na marafik. Tunajua humu JF kuna watu mbalimbali wenye maofisi binafsi wengine wafanya biashara wakubwa, napenda chukua fursa hii kwa kuomba wote wenye kuguswa na hili plsss...
5 Reactions
36 Replies
8K Views
nipo vizuri na uzoefu wa miaka 8 kwenye ujenzi wa barabara za lami vumbi nk naoparete greda roller pia Forman wa structure, earthwork.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu wanajukwaa ninaomba kazi kwa yeyote mwenye uhitaji wa fundi,nifundi muaminifu na mjuzi wa kutosha,ninauwezo kufanyakazi hata mikoani,ninauwezo ktk kuandaa mchoro wa ramani ya ujenzi,lakini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna tangazo la tender nimeliona sehemu kuna tender za electrical equipments,books,desk,beds,I'd cards,T-shirt printings n.k kwa makampuni yaliyosajiliwa kwa mawasiliano na kupata tender notes...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Hii ndiyo full list ya mashirika na taasisi za umma na binafsi ambazo graduates wengi wa kibongo hutamani kufanya kazi pasipo kujua kuna vijikampuni na vitaasisi vidogo ambavyo vinalipa mkwanja...
0 Reactions
40 Replies
10K Views
Sifa za mwambaji Awe mkazi wa Mwanza (Nyamagana / Ilemela) Awe na elimu ya kidato cha NNE Awe na spidi ya Ku type Awe msichana Umri miaka 16-24 Tuna Maombi kupitia email Joyceissack@gmail.com...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
.
1 Reactions
4 Replies
788 Views
Natanguliza salaam, Kijana mwelewa,msikivu, mbunifu na mchapakazi mwenye uzoefu wa kilimo (anae jua kulima) anahitajika Awe tayari kukaa huko huko shambani, shamba lipo karibu na bagamoyo Kula...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
guys usichezee bahati hamka na ushindi wa USD 20000++ NA JAPAN CAR. ingia hapa na bofya link CAR FROM JAPAN : Car Giveaway Summer 2016 - A chance to win a free car
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi nimhitimu wa koei ya uuguzi ngazi ya cheti nimehitimu mwaka. 2015 niko tayar kufanya kazi popote iwe Tanzania au nje na Tanzania
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Bungeni Leo 13/09/2016, naibu waziri TAMISEMI amesema serikali inampango wa kuwapa mafunzo ya muda mfupi watu wenye degree za science (ambao ni non teaching professionals) ili waajiliwe Shule za...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nna elimu ya kidato cha nne,, proffessional carrier yang ni Secretary,,, pia nlisoma full hotel management nna experience ya miaka 2,, kwenye (usecretary)kama kna nafas mahali mni pm watu wang wa...
1 Reactions
0 Replies
604 Views
Kama unahitaji kujengewa Banda au mabanda ya kufugia mifugo nitafute, ama kazi yoyote ya ufundi...hasa ujenzi na uselemala. 0766 57 40 68. Karibuni
0 Reactions
5 Replies
918 Views
National Bank of Commerce (NBC) – Dar es Salaam, Tanzania Job Description 1.Head of Balance Sheet Management Education and Experience Required – Bachelor’s Degree – More than 5 years banking...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom